Kuhusu kupata kadi ya mabasi ya mwendokasi

Naxria abdalla

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
204
Reaction score
376
Habari ndugu zangu, Jumapili nikijaaliwa nategemea kusafiri kwenda Dar. Naomba kujua utaratibu wa kupata kadi ya kupandia mabasi ya mwendo kasi. Inapatikana wapi?

Nimezoea kwamba nikishuka kutoka kwenye boti napanda mwendo kasi moja kwa moja. Je, pale pia wanauza kadi hiyo?
 
Habari ndugu zangu jpili tukijaaliwa nategemea kusafiri kwenda dar sasa naitaji utaratibu ule wa kupata kadi ya kupandia mwendo kasi inapatikana wapi?mm nimezowea nikishuka boti napanda mwendo kasi ss pale pia wanauza iyo kadi?
Punguza shobo Dada
 
Kadi zinauzwa kila kituo ila hazina dili.Unaingia ndani ya kituo haraka lakini NM mtiti wa kupanda gari ni sawa na asiye na Kadi ambaye amekata ticket ya papo hapo.Cha msingi labda uwe na chenji tu.
 
Wanauza pale pale pa kukatia tiketi kwa sh 5,000
 
Kadi zinauzwa kila kituo ila hazina dili.Unaingia ndani ya kituo haraka lakini NM mtiti wa kupanda gari ni sawa na asiye na Kadi ambaye amekata ticket ya papo hapo.Cha msingi labda uwe na chenji tu.
Kabisa tena sh 50 ndio dili
 
achana na habari ya mwendokasi ,kama hujaolewa nije nikupokee magufuli terminal
 
Habari ndugu zangu, Jumapili nikijaaliwa nategemea kusafiri kwenda Dar. Naomba kujua utaratibu wa kupata kadi ya kupandia mabasi ya mwendo kasi. Inapatikana wapi?

Nimezoea kwamba nikishuka kutoka kwenye boti napanda mwendo kasi moja kwa moja. Je, pale pia wanauza kadi hiyo?
Unaweza kucheza gombania goli

Ova
 
Kwani utaratibu umebadilika? Si huwa wanakata pale pale kituoni? Au
 
Kadi zinauzwa kila kituo ila hazina dili.Unaingia ndani ya kituo haraka lakini NM mtiti wa kupanda gari ni sawa na asiye na Kadi ambaye amekata ticket ya papo hapo.Cha msingi labda uwe na chenji tu.
Manake ukiwa na chenji unakata bila kadi au
 
Back
Top Bottom