Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,040
- 288,432
Hakuna na nitasimamia vidoleHalima Mdee namkubali sana, nilimpigia kura 2010 na 2015. Amefanya mazuri 99 baya ni 1 tu asamehewe. Wasiwasi wangu bi ule urafiki wake na Esther Bulaya unanipa shaka.
Unaweza ukawa sahihi mkuu kibinafsi TUHuyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi
Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai
Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu
Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
NONSENSEHuyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi
Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai
Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu
Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Uamuzi wa kumpokea au kutompokea ni democratic process. Ni haki yako kuweka mguu chini, lakini at the end of the day kura yako ni moja. Wajumbe wa vikao vya maamuzi kwa umoja wao wakiridhia kumpokea ni sawa. Ndiyo demokrasia!Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi
Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai
Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu
Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi
Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai
Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu
Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Utamlaumu Mdee, Covid-19 walipelekwa na Mbowe.Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi
Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai
Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu
Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Mkuu nakuelewa sana. Mimi mwenyewe nilikuwa namkataa sana Halima Mdee kurudi chamani. Lakini kwa namna ya utulivu aliouchukua Mdee bila kuchacharika kama wengine kuhamia vyama vingine,hasa kipindi cha uchaguzi inatosha kuona amejutia na kutafuta utulivu na kuwashawishi viongozi na wanachama kurudishwa kundini.Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi
Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai
Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu
Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Hakuna binadamu mkamilifu hizi harakati zinahitaji watuHuyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi
Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai
Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu
Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Asamehewe sawa, je kesho akirudia? Nami nampemda sana, lakini alinikata mainiHalima Mdee namkubali sana, nilimpigia kura 2010 na 2015. Amefanya mazuri 99 baya ni 1 tu asamehewe. Wasiwasi wangu bi ule urafiki wake na Esther Bulaya unanipa shaka.