Kuhusu kukithiri rushwa serikalini: IKULU IMEONESHA UADILIFU NA IMANI KUBWA KWA WATANZANIA.

mbeyaman

Member
Sep 28, 2013
97
0
Kauli ya Katibu Mkuu Kiongozi ndugu Ombeni Sifue inaonesha jinsi gani IKULU inavyokerwa na vitendo vya rushwa serikalini hasa katika suala zima la ajira nono katika taasisi za serikali kama BOT,TRA,BIMA YA AFYA,UHAMIAJI,TANROAD,NSSF nk.Rushwa hizi zimekuwa zinaipaka matope IKULU YETU TUKUFU KWA MUDA MREFU.Tatizo ni watendaji wabovu wa serikali wanaotumia nafasi zao kwa manufaa yao na familia zao ktk ajira.Huwezi kuajiriwa ktk taasisi hizi nyeti iwapo huna mtu anayekujua au bila ya kutoa hongo.
 

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
1,225
Kauli ya Katibu Mkuu Kiongozi ndugu Ombeni Sifue inaonesha jinsi gani IKULU inavyokerwa na vitendo vya rushwa serikalini hasa katika suala zima la ajira nono katika taasisi za serikali kama BOT,TRA,BIMA YA AFYA,UHAMIAJI,TANROAE,NSSF nk.Rushwa hizi zimekuwa zinaipaka matope IKULU YETU TUKUFU KWA MUDA MREFU.Tatizo ni watendaji wabovu wa serikali wanaotumia nafasi zao kwa manufaa yao na familia zao ktk ajira.Huwezi kuajiriwa ktk taasisi hizi nyeti iwapo huna mtu anayekujua au bila ya kutoa hongo.
vip kuhusu WEREMA?
 

dundula

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
539
0
vip kuhusu WEREMA?

Maneno tu no action! binafsi taasisi zote za umma ajira zirudishwe PSRS kidogo kujuana na kubebana kutapungua kuliko kuwaachia taasis yenyewe iajiri matokeo ndo tunaona mchezo uliopo TRA na BOT mpaka uwe mtoto wa fulani, wanagawiana ajira kama njugu!
 

mbota

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
840
500
Maneno tu no action! binafsi taasisi zote za umma ajira zirudishwe PSRS kidogo kujuana na kubebana kutapungua kuliko kuwaachia taasis yenyewe iajiri matokeo ndo tunaona mchezo uliopo TRA na BOT mpaka uwe mtoto wa fulani, wanagawiana ajira kama njugu!

Kunataasisi nyeti nilikuwa naomba intern mwaka Jana nikampigia simu Huyo mkurugenzi watu akaniuliza Kwani wewe ni mtoto wa nani Da nilichoka
 

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
14,353
2,000
Hakuna uadilifu wala nini, hiyo ni danganya toto kama ni waadilifu basi waanze kubomoa huo mtandao mara moja na kuajiri upya
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,588
2,000
Wafanye kuwajaza ndugu na watoto wao na hata kureserve nafasi za ajira kwa wajukuu na vimada wao ila ipo siku isiyo na jina vijana hawahawa wanaonyanyasika kwa kulelewa na kufundishwa kuajiriwa tu watafanya maamuzi magumu. Bomu la ajira linafukuta kutaka kulipuka wajiandae kuyapokea waliyojiandalia. Na vijana msije kumpa mtu kura zenu kwa kisingizio cha kuwapatia ajira kwani mtachemsha tena kwa miaka 10 mingine kama mlivyochemsha sasa. Mngepiga kura ya kumkataa huyu aliyepo leo msingekuwa hivi. Lakini mliwaachia wazee wenu wawachagulie mtu laghai mwenye safu ya wasaidizi wabovu wanaowaita wenzenu ngedere baada ya kuvimbiwa vya wizi! Sijui lakini, mtavunjwa miguu na bodaboda mpaka basi! Kwani ndo zile ajira 0ilioni moja mlizoahidiwa kuishia kulazwa MOI. Amkeni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom