Kauli ya Katibu Mkuu Kiongozi ndugu Ombeni Sifue inaonesha jinsi gani IKULU inavyokerwa na vitendo vya rushwa serikalini hasa katika suala zima la ajira nono katika taasisi za serikali kama BOT,TRA,BIMA YA AFYA,UHAMIAJI,TANROAD,NSSF nk.Rushwa hizi zimekuwa zinaipaka matope IKULU YETU TUKUFU KWA MUDA MREFU.Tatizo ni watendaji wabovu wa serikali wanaotumia nafasi zao kwa manufaa yao na familia zao ktk ajira.Huwezi kuajiriwa ktk taasisi hizi nyeti iwapo huna mtu anayekujua au bila ya kutoa hongo.