Kuhusu kukaribisha wageni chakula

Yaani hujaona hata hayaAibu kuayaandika maneno haya kweli tumeumbwa tofauti, chakula siyo cha kumsimanga nacho mtu mimavi tu hiyo baada ya muda
 
Huo msosi ushaenda utoa chooni ila tabia ya uchoyo uliyoionesha itadumu milele kwa haoi uliowatendea ubandindu
 
Mi ndo maana huwa sipendi enda kwa mtu
Kama ni biashara tuzungumze hotel tupate kinywaji mambo ya kwenda kwa mtu ukute hajajipanga kunipokea
Hapana
Tujifunze kutoa taarifa za twaenda wapi, kwa muda gani etc
 
Wewe ni li-choyo nguli. Ndiyo ninyi mkiona chakula aidha mnatetemeka au mnachekacheka kama juha. Usirudie tabia yako hiyo ya uchoyo.
 
Mchoyo mkubwa we.
 
hahahahahaaaa., mkuu wewe ni shida. Ila ulikuwa rude sana. Ungemvutia jamaa yako pembeni afu umpe za uso. Then ungepika kingine. Anyways ila na sisi waBongo tukomage kwenda kwa watu bila taarifa.
 
Reactions: BAK
Kuna utaratibu ambao watu huwa wanajiwekea, sijaelewa nyinyi mnaishi nyumba moja? Wote ni ME? Kwa siku moja sio mbaya ila kama ni kila siku jamaa wageni kwake yeye tu na ni mida ile ile ya msosi hiyo kwa DAR naweza sema hapana haikubaliki, ila kwa huku mikoani jambo la kawaida mno, huku misosi sio ishu kubwa....ila mgeni akija mwenyeji ndio anabeba jukumu lote.
 
Mtoa Uzi umenishangza, chakula t unamkalipia mtu tena mgeni!!!!!duuu kweli hatareeee
 
Yaani kama ni uchoyo wewe ni PhD holder si bora ungewaacha wale halafu umwambie huyo mwenzio arudishie hicho walichokula
 
Ulichofanya si jambo la kibinadamu kbisa, chakula na maji siyo vya kumnyima mtu kabisa... Una roho ngumu mno
 
Sasa nyie wanaume wakubwa kabisa mnaishije wawili tu nyumba moja.

Hii yote sababu unahusudu kula sana.
 
Mh! Hapa naona umuhimu wa kupelekwa kwenye nyumba za ibada tangu tukiwa watoto, kuna vitu vinajengeka vinavyokuepusha na tabia za aina hii.
Tusimlaumu mleta Uzi hatujui amepitia mambo gani na amelelewaje?

Hata hivyo, kwani ulikua na uhakika kwamba hawajala huko walikotoka? Au lazima wale hapo kwenu? Kama wangeenda kula mbele ya safari si umejidhalilisha bure mkuu?
 
Uchoyo na ubinafsi umeipamba nafsi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…