Kuhusu kuhamisha email...

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,326
Habari waaalamu?

Naomba kuuliza…Unapohamisha email labda kutoka kwenye "trush" folder, ukaiweka kwenye "sent" folder, hii itafanya email hii kutumwa automatically hata kama ilikuwa haijatumwa kabla?

Kama ni ndio, kuna mechanism gani hapo? kama siyo, kwa nini email hiyo ikubali kukaa mahali ambapo inaonesha kutumwa lakini haikutumwa?

Karibuni.
 
Back
Top Bottom