Kuhusu kuchaguliwa kujiunga na shahada

Kuhusu kuchaguliwa kujiunga na shahada

Rugaikamu

Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
37
Reaction score
20
kuhusu chuo mimi ni mwanafunzi nimemaliza diploma na G.P.A ya 4.6 ya information and technology nimeapply vyuo viwili wrote wajanipa majibu ukiuliza wanasema tatizo T.C.U kivipi na chuo chetu kilikuwa hakipo chini ya TCU kipo chini ya nacte ndiyo wakatupa A.V.N
 
sijakuelewa mkuu yaani chuo kinakujibu tatizo TCU kivip?? maana kama umepata AVN shida iko wap?? na hujabainisha umeomba chuo ukakosa au ikoje?
 
Back
Top Bottom