Habari zenu wadau .....kuna kitu mwenzenu kinaniumiza kichwa sana katika kuomba vyuo Mara hii ndio maana nimeona nianzishe uzi huu tuweze kujadiliana..
Katika mchakato ambao Mara hii kila mwanafunzi ataomba chuo anachokitaka nadhani italeta challenges sana kwa wanafunzi wengi kukosa fani wanazohitaji lkn pia vyuo vingi visivyo maarufu kukosa wanafunzi...
Mfano ,tuchkulie chuo kikuu cha muhimbili assume admission capacity n kwa MD students n 180,so naamini wanafunz ambao wenye matokeo makubwa ya division 1 ,wataweza kuchaguliwa hapo ,lkn kwa upande wa pili wanafunzi hao hao wenye matokeo makubwa ambao wamechaguliwa muhimbili naamini hawajaishia kuomba muhimbili tu ،bali hao hao wameomba bugando ,wameomba UDOM etc...sasa ikitokea wanafunz mfno 50 WAMEPATA VYUO VI 4 tafauti kwa cozi moja ya MD maana yake Wamewakosesha nafac wenziwao ambao wangewaza kupata ,JEE KUTAKUA NA UTARATIBU GN KWA WANAFUNZ KU CONFIRM VYUO ,THEN WANAFUNZ WENGNE WAKAOMBA TNA AMBAPO STILL THE SAME RESULTS ITAJITOKEZA TNA KWA wanafunz wengne ,hali itakayopelekea usumbufu mkubwa kwa wanafunzi na vyuo husika...
Naombeni tujadiliane wadau wote ..ahsanteni
Sent using
Jamii Forums mobile app