Hizo hela kaweka mfuko upi!!!!??? maana sizioni kwenye mfuko wa sarawili wala wa shatiJoni Josefu ameahidi kuzinunua zote.
Serikali inatuhimiza tulime lakini sera za agro economic haziko sawa. Waziri wa Kilimanjaro na was biashara wanatakiwa kutafuta soko la uhakika na custom duty pia iwe rafiki. Tukibana sana bandari kwa kodi tutakimbiwaTutegemeee kuwapoteza wakulima wengi wa korosha akiwemo Sky
Mimi bila hata bila ya kuambiwa naziona dalili kabisaaNinasikia 80% ya Kijitonyama ni new comers kutoka Chato na kanda ya ziwa.