Kuhusu kipindi cha wakati wa maakuli cha radio one

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,639
Habarini,

Wakati wa muda wa mchana SAA 6 au SAA 7 kunakuwa na kipindi cha wakati wa maakuli kwenye stesheni ya radio one stereo

Kabla kipindi hakijaanza kunakuwaga na ala flani ya mziki (instrumental) ambayo ni tamu sana, ila cjabahatika kujua jina halisi la huo wimbo, ntaomba kwa anaeufahamu a-attach link ya YouTube kwenye hii thread. Thanks
 
We redio ikipiga singeli ndo unahis ndo ya kisasa!!!!

Watanzania wengu wamejaa ushamba na ujinga

Au unataka redio unayosikiliza wewe ndo watu waipende?

Ujinga na ushamba ni mzigo

Kuipata kwako ni msaada mkubwa kwangu... Ila hiyo radio ni ya kizamani
 
Back
Top Bottom