Amina.!Mungu na akupe neema na baraka tele
Na kukolezea hapo hapo ndugu si tunaufahamu wote wivu wa mke kwa mumewe ama wivu wa mume kwa mkewe aonapo haki yake ya agano inapelekwa kwingine kusipostahili? Ni kama hivyo , wivu wa haki huo,Mungu na akupe neema na baraka tele
Cc Rc.Tena anasema hivi.."Usijifanyie sanamu kwa ajili yako mwenyewe kwa mfano wowote mbinguni wala duniani au katika chini ya maji. Wala kujiinamisha mbele yao au ibada yao, kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. "
Kulikoni ume mCc huyu ndugu?Cc Rc.
Mi usinitaje.
Okay, nimekuelewa sasa, mwanzoni nilidhan unamanisha mtu Personal, kumbe ni hawa ndugu zetu.!Cc Rc.
Mi usinitaje.
Ni hawo ndugu ila mapovu yao sasa, ndio maana nikaomba usinitaje.Okay, nimekuelewa sasa, mwanzoni nilidhan unamanisha mtu Personal, kumbe ni hawa ndugu zetu.!
Ni hawo ndugu ila mapovu yao sasa, ndio maana nikaomba usinitaje.