Kuhusu huduma za kibenki

Kuhusu huduma za kibenki

Mtumishi 19

Member
Joined
Feb 27, 2026
Posts
15
Reaction score
21
Wakuu habari za mda huu.
Hivi Benk zetu wameshindwa kabisa kubuni mfumo wa kutoa huduma kwa uharaka?

Imagine leo nimeenda bank kwa ajili tu huduma za mkononi. Lakini unatumia almost masaa matatu kwa ajili ya huduma hii kweli?
 
Tanzania Ndiyo Hiyo
Wenye Pesa Buku Jero Tuweke Kwenye Vibubu
 
Mkuu itakuwa ni hizi local bank ndo umeenda na wewe sio premium customer

Jaribu bank kubwa kubwa za nje kama
Stanbic
Standard chartered
UBA
Halafu uwe na dollar account
 
Back
Top Bottom