Kuhusu Habibu Mchange

Hayo mengine kuhusu mchange sina uhakika nayo,ila la udini ni asilimia mia ndo anachopigania.tunao jua tabia zake za kutoaminika hata kwa ndugu zake hatuhangaiki nae.
 

Kwenye afya mchange asitie neno kwani yeye mwenyewe chenga tangu udogo wake ,au anataka tuoneshe tunavyo mjua
 
Mbona umepanic bro, inaonesha kuwa umeumia sana hata kuliko wenye UKAWA, na ww kazi zako ni zipi? make inaonyesha kama ni kuhadi vile, mambo ya mademu wa Mkuba ulijua vipi? ebu acha kujidhalilisha bure, hayo yote usemayo nadhani ni uongo mtupu, hata hivyo ukweli huwa unauma sana, na mambo ya siasa waachie wenyewe wanasiasa.
 
mchange hata ukimwangaliatu sura yake inakupa picha jinsi alivyo.

Kwa tathmini niliyoifanya, huyu Mchange atakua ndie kiumbe mwenye roho mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani katika miaka ya hivi karibuni.
 
Last edited by a moderator:
Nimekumbuka ile kauli "kama so and so ni kipimo cha uadilifu basi mimi ni mtakatifu"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…