Akili yako matope sana!
Jamaa alambe mil 500 halafu ashindwe kurudi chuo??[/Q
Please Nenda Kwa Prof. IDDRISA KIKULA makamu wa Chuo. Mchange Hata angekua na 1 Tillion hatakiwi UDOM. Zitto analijua ingawa alimpigania akarudi baada ya wiki moja wakafukuza tena kwa sababu ya tabia yeke mbaya. Hana busara, weredi , na nimdini sana kama Zitto
Hahahaha wewe hoja za zitto zimekuingia na unawashwa sasa. Jikune usione aibu. Leo ndo umekaa ukapanga hivyo? Wewe ni boya sana. Mchange ni mmeo? Kitila nae mmeo mbona unamjua zaidi ya mkewe? Si useme tu kama alitembea na wewe mbona hujitaji? Alafu ndo uulize kama ni muadilifu?
unafkir chuo ni sawa na msalani??niulize.mm niliyesoma naye live.
alifukuzwa udom kwa sababu ya ukorofi wa kumobilize migomo na ni huyuhuyu aliyepgwa bann na kikula
Kagusa Isugi haaa Machange .kit ila. Zito wembe ule ule
Wanahubiri uadilifu kabla hawajashuka jukwaani meneja kampeni anakosa uadilifu kwa kuzungumzia magonjwa ya watu!
Propaganda lazima ifanane na ukweli ukawa kwa propaganda za aina hii munajiaibisha tu
Halafu huyu dogo mchange ajiangalie sana na kauli zake,anabahati zzk kamwombea radhi kwa watz
Act ni wasaka tonge2 watasubiri miaka30 ijayo wanafikiri kushika dola ni safari ya kutoka kigoma kuja dar!
Wamedharaulika sana na ni aibu kwao
Kabisa kabisa mkuu yaani wameshindwa kabla hawajaanza
Act ni wasaka tonge2 watasubiri miaka30 ijayo wanafikiri kushika dola ni safari ya kutoka kigoma kuja dar!
MCHANGE na ZITTO kwa sasa wapp kwenye biashara ya siasa hawana jipya.LOWASA ndo kila kitu.