Kuhusu Habibu Mchange

Kuhusu Habibu Mchange

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,548
Reaction score
2,180
Habibu Mchange aliwahi gombea ubunge Kibaha Mjini kwa Tiketi ya CDM, ZZK alimlea katika kipindi hicho muhimu cha kampeni akiwa ametoroka Chuo kikuu cha Dodoma. Alijaribu kurudi chuo baada ya kushindwa uchaguzi mkuu uliopita bila mafanikio, mpaka sasa anacheti cha form six tu.

Je Mchange na Zitto kumbushaneni yafuatayo:

1. Zitto ukiwa na Mchange unakumbuka mlienda kwa Singasinga wa Escrow Mkapewa pesa 500,000,000/= kisha Mchange akakuzulumu mkagombana?

2. Baada ya Mchange kukwapua pesa hizo za Escrow akaenda China mara 3 kuzitakatisha kwa mgongo wa kununua vifaa vya studio, kuanzisha gazeti Janvi la Habari, Tetere Media, Kiwanda cha kuzalisha Unga, kupanga ofisi Kitega Uchumi, na Migahawa 3 iliyopo Kariakoo?

3. Zitto unafahamu kwamba Mchange ndie aliempatia Lusinde zile Risiti ambazo Lusinde alikuchana nazo Bungeni?

4. Mwami unafahamu ya Kwamba Mchange alikula mpunga tena kwa Mama Tibaijuka na Muhongo (100,000,000/) kwa nia ya kuwasaidia wasifukuzwe Uwaziri kwa kupambana mitandaoni kama mlivyo mdanganya Singasinga?

5. Zitto ile milioni moja uliyokua unadaiwa na Mwampamba ulisha mlipa au autalipa na interest?

6. Zitto zile pesa ulizokua unapewa na Dau wa Nssf ili kuwalipa na kuwasafirisha kundi lako la wanamuziki wa Kigoma ulizirudisha au ndio udini Mliouonesha leo kwenye Uzinduzi wa Kampeni zenu?.

7. Mwami zile pesa ulizo kua unapewa na Boss mkuu wa Tanapa umezirudisha au utarudisha kwa riba?.

8. Hivi Profesa Kitila Mkumbo Wewe kweli Unauadilifu. Ukiwa pale Mlimani katika ubora wako Ukatembea na Janet, Asha, Wema, Jacline, na Zena mkeo alikua hakutoshi?

9. Sorry Mwami unajua kwamba Toto lako yaani Mchange ndie alie liuwa lile kundi lako la all Kigoma stars?. Pesa ulizo kua ukipewa na Alhaji Dau Mchange alitumia Kupanga nyumba ya kifahari Tbt na kufunga ndoa na Shemeji yetu Z?

Je Zzk, Mchange, Kitila uadilifu wenu ni upiii?

Pangu Pakavu
 
Hahahaha wewe hoja za zitto zimekuingia na unawashwa sasa. Jikune usione aibu. Leo ndo umekaa ukapanga hivyo? Wewe ni boya sana. Mchange ni mmeo? Kitila nae mmeo mbona unamjua zaidi ya mkewe? Si useme tu kama alitembea na wewe mbona hujitaji? Alafu ndo uulize kama ni muadilifu?
 
Uadilifu unataka moyo!..hakuna uadilifu ACT!Aminia!
 
MCHANGE na ZITTO kwa sasa wapp kwenye biashara ya siasa hawana jipya.LOWASA ndo kila kitu.
 
Halafu huyu dogo mchange ajiangalie sana na kauli zake,anabahati zzk kamwombea radhi kwa watz
 
ACT nchi mnayoisema kuwa mnataka kushika ni TANZANIA au pale Mwandiga Kigoma ?maana si wseleqo kabisa nani anaweza kuwapigia kura labda hao wavuta bangi kama sele.
 
Halafu hawa ndiyo wanazungumzia ufisadi na uadilifu. Wakati Lusinde anamsulubu Zitto bungeni, alijidai eto fedha ilikuwa ya rambirambi. Usaliti utawatafuna mpaka kaburini.
 
Andika "kura yangu" kwenye play store kwa watumiaja wa simu za mfumo wa android hifadhi kura yangu app tazama mgombea anayependwa zaidi kwa kumpigia kura.
 
Propaganda lazima ifanane na ukweli ukawa kwa propaganda za aina hii munajiaibisha tu
 
Hahahaha wewe hoja za zitto zimekuingia na unawashwa sasa. Jikune usione aibu. Leo ndo umekaa ukapanga hivyo? Wewe ni boya sana. Mchange ni mmeo? Kitila nae mmeo mbona unamjua zaidi ya mkewe? Si useme tu kama alitembea na wewe mbona hujitaji? Alafu ndo uulize kama ni muadilifu?

mmelengwa kunako subrn dawa iwaingie
 
Wanahubiri uadilifu kabla hawajashuka jukwaani meneja kampeni anakosa uadilifu kwa kuzungumzia magonjwa ya watu!
 
Akili yako matope sana!
Jamaa alambe mil 500 halafu ashindwe kurudi chuo??

unafkir chuo ni sawa na msalani??niulize.mm niliyesoma naye live.

alifukuzwa udom kwa sababu ya ukorofi wa kumobilize migomo na ni huyuhuyu aliyepgwa bann na kikula
 
Back
Top Bottom