Kuhusu Elie Mpanzu na Simba

Kuhusu Elie Mpanzu na Simba

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
2,113
Reaction score
2,664
Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC.

Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita haimmiliki Mpanzu toka msimu jana. Mpanzu alitakiwa aje Simba dirisha kubwa lililoisha ila AS Vita wakaweka ngumu hadi mkataba wake ulipoisha na hakusaini mwingine ndio maana alikaa nje miezi kadhaa bila kucheza kwa kuwa mkataba uliisha wakati dirisha letu limefungwa. Simba Sc ilimchukua Mpanzu bure pasipo kulipa hata senti moja AS Vita.

Hela iliyolipwa ni kwa timu iliyomkuza Mpanzu. Mkataba wa Mpanzu na Simba ni wa miaka mitatu.
 
Hivi bado mnawajibu nyuma mwiko 🤣 🤣
Jana Hawa maboya wakajipa mechi ya lazima ili angalau waongeze gape ya pointi wajiskie amani ..mana kupumuliwa kisogoni si mchezo..hizi propaganda za volcano zimetengenezwa na wao wakishirikiana na viongozi wao ili kuivuruga Simba tena zimeanza Jana timu ikisafiri..they can't stand Simba successful era this year...
 
Sure mwaka wetu huu...
Kauli mbiu ya ubaya ubwela imebeba maono makubwa
 
Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC.

Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita haimmiliki Mpanzu toka msimu jana. Mpanzu alitakiwa aje Simba dirisha kubwa lililoisha ila AS Vita wakaweka ngumu hadi mkataba wake ulipoisha na hakusaini mwingine ndio maana alikaa nje miezi kadhaa bila kucheza kwa kuwa mkataba uliisha wakati dirisha letu limefungwa. Simba Sc ilimchukua Mpanzu bure pasipo kulipa hata senti moja AS Vita.

Hela iliyolipwa ni kwa timu iliyomkuza Mpanzu. Mkataba wa Mpanzu na Simba ni wa miaka mitatu.
Mar amiaka miwili
Na wewe mitatu
Atakuja na mitano mwingine

Mtasemaa tuu
 
Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC.

Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita haimmiliki Mpanzu toka msimu jana. Mpanzu alitakiwa aje Simba dirisha kubwa lililoisha ila AS Vita wakaweka ngumu hadi mkataba wake ulipoisha na hakusaini mwingine ndio maana alikaa nje miezi kadhaa bila kucheza kwa kuwa mkataba uliisha wakati dirisha letu limefungwa. Simba Sc ilimchukua Mpanzu bure pasipo kulipa hata senti moja AS Vita.

Hela iliyolipwa ni kwa timu iliyomkuza Mpanzu. Mkataba wa Mpanzu na Simba ni wa miaka mitatu.
Kama ni hivyo,nasemajeee....HATUCHEZI!Mna nia ovu ninyi makolo.😜
 
Hizi nyuzi za Elie Mpanzu zinaanzishwa na kale kakijana ka Ally Kamwe. Ni sehemu ya ibada ya maombi yake kuelekea Simba kutwaa kombe🤣🤣😂

Nguvu Moja
 
Back
Top Bottom