Kuhusu dunia kutembelewa na Alien

Muulize mmalekani anayo siri kubwa kuusu hivyo viumbe na pia ndo huwa anasaidiwa kwa project nyingi tu.
 
Hii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui
Hatuhu ni via vibwengo vyena mazutwi makuu ndivyo tikiviiva
 
Si ajabu hata wewe ukawa Alliens species umejuaje hayo yote japo ni siri kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…