Kuhusu dunia kutembelewa na Alien

Why 😭😭😭😂😭 Zotee ni conspiracy theory tuuu
 
Yes! wana/wata hitaji mno siyo leo tu hata miaka 200 ijayo! ndo maana ya mapyramids ni ya miaka mingi sana ilopita na yataishi zaidi! tofali moja ni la pyramid ni takriban tani kumi!...kumbuka tu kwamaba hata humu nchini wajermani wana alama zao!

kila penye manufaa ya madini humo Bongo land wajermn wana directing points ambazo wanarithi hati miliki wajukuu zao tu!! usione watalii wanakuja unaona wanakuja kuangalia wanyama tu noo!! wanakuja check hizo Beacons zao!
Hayo ni yako na huyo mwana anga wako!.. alisema sisi hapa Duniani ni type zero civillization kulinganisha na kina nani??...nguvu iliyo bora kwa level ipi? wapi? na lini?...mabadiriko makubwa ya kisayansi yapi kuliko haya tuliyo nayo leo?...

hizo levels zake wala hazieleweki labda ulitengeneze kivingine, sasa na wewe mkuu kwa nini ulisoma tu ukalibeba ivoivo??
Hakuna level of civillisation ambayo mwanadamu wa leo amesha ifikia kiwango cha maendeleo km ile ya kiwango cha Atlamantiondidas lakini ni Bara pekee Duniani ambalo lili-sink down, over dissappearance level , at one Night!! ..

Zamani sana tulipo kuwa tunasema kuwa ''humu Duniani hakuna jipya! haya yooote unayo yaona yalikuwepo kabla!'' Tulikuwa hatutanii Mkuu!..endelea kusoma utakutana na statement hii!...tena huenda unayo kwenye shelf la vitabu vyako ila hujui!

wanacho kifanya leo hao watalaamu wako ni kukopy na ku paste tu!! halafu wanajifanya wagunduzi!! na haya wanayagundua Via excavations na huko site kamwe hawataki Mweusi yeyote aguse kwa nini??

na ikitokea mweusi yuko huko basi ni kutumwa tumwa tu! hayo yako sijui ya type 1 civl... Baba umepigwa Akili zakuambiwa bila kuchanganya zako ndo matokeo yake haya any way pole ......Mfano..

Excavations sites zote za Egypt hakuna Muarabu, Muhindi wala Mswahili hata mmoja japo zipo Africa! Na ni UN heritage sites! haziguswi!...kwa nini?
 
Why 😭😭😭😂😭 Zotee ni conspiracy theory tuuu
Ok.
Kuna uzi upo humu kwenye jukwaa la intelligence,kama hautojali utafute, nafikiri utakutana na watu wa kuwapa hiyo statement. In short kuna link za cnn na the guardian ambazo wamepublish kuwa pentagon imeconfirm uwepo wao(aliens).

Ukumbuke: pentagon au jeshi lao,walikuwa wanakana huko nyuma kuwa hamna aliens.

Wala tusiumie makoo sana,tujadili tu kadiri tunavojua.kama wapo ipo siku watajitokeza na madukuduku yataisha.kama hawapo basi itakuwa aibu yetu tuliyojiaminisha kuwa wapo(kukubali kushindwa ni part of the game).
 
....Hakuna Kitu Kama Allien ama UFO. Toka vianze kuzungumzwa hakuna Hata Picha Moja imepata kupigwa mahali kutuaminisha kwamba Alliens kwamba wapo! Kila siku yapo Maelezo ya kuonekana Vyombo vyako vikitimka mbio!
Kama in kuja kutuchunguza TU, kama inavyosemekana, Mpaka Leo wanatuchunguza TU na Bado hawajapata Ushahidi kuwa sisi binadamu hatuwezi kusimama nao Kwa vile Wao wako mbele Sana zaidi ya sisi?
 
Atlamantiondidas?? Unamaanisha atlantis? Hizo ni myth tu hakuna proof yoyote mpaka sasa.

Sijajua unachopinga ni nini bado ila nikuulize kama wameweza ku navigate kutoka sayari zao zinazopatikana umbali wa miaka ya nuru(lightyears) mingi sana mpaka kufika duniani unadhani kwanini watahitaji ma pyramid ili kutua? What is special about those constructs to them?
 
Hii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui

SA na Zimbabwe kuna hadithi kuhusu hawa viumbe
 
We can't take pictures of them they are too smart for us
 
Kimsingi ya binafsi sipingi!!!! ila nakuelimisha!! kama siyo kuelimishana! iwapo unajua weye?? mwagika!......km unaniona mie ni mpingaji hayo ni yako...mie siko huko!...siyo kwamba wameanza kunavigate jana au leo la hasha!

ni miaka mingi mnoo!! walisha fanya kazi hiyo! nika kwambia kinaga ubaga na sehemu waliyotua mara ya kwanza kabisa, na kwa ni ni walitua hapo!...mara hii umesahau??

ukiniuliza ''kwa nini wanahitaji Mapyramids kutua''' nakujibu hivi ni wazi kuwa hujanielewa vizuri!! rudia kusoma staements zangu vizuri! hili nimelielezea hapo juu! Nikatoa na mifano zaidi ya mmoja!
 
We can only see their shadow, see USA navy footage.
🤔🤔 In this era of knowledge ignorance is a choice, unataka kuniambia jinsi teknolojia ilivyokuwa namna hii hasa kwenye mambo ya video editing na green screen kila watakachotoa USA unakiamini? Umesahau kuna kitu kinaitwa propaganda? Wanatoa fake news na footage kila kukicha ili ku catch attention ya mabilion ya watu .

Na bado kirahisi tu unaamna kila footage.
 
Hiyo video ilirekodiwa na fighter jet ipo na USA service men wakiwa mashahidi kwa waliyoyaona. Cjui unaongea vitu gani.
 
Hiyo video ilirekodiwa na fighter jet ipo na USA service men wakiwa mashahidi kwa waliyoyaona. Cjui unaongea vitu gani.
🤔🤔🤔 haujaelewa kipi? Kama umethibitisha mwenyewe kuwa hatuwezi kuwaona unadhani technology wanayotumia ni rahisi kunaswa na mitambo yetu primitive compared to wao? How? Na ninachoongelea ni kuwa usiamini kila footage maana technology ya video editing ni kubwa tu.

Na kingine ni kuwa nasa na america in general wapanda sana propaganda.
 
Ucfanye moyo wako kua mgumu ndugu fungua, that is how u learn n grow. Unadai ni usa pekee, je vip kuhusu China, ushasikia kesi ya Iran how Iranian force mistake UAP for American drones. Embu pitia news za saa iv ambazo vipo updated. Hiz ni baathi ya picha unazolilia.
 

Attachments

  • Screenshot_20220530-053536~2.png
    18.9 KB · Views: 34
  • Screenshot_20220530-053132~2.png
    20.4 KB · Views: 34
Acha nikachukue bagia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo ni claims without solid evidence na zitabaki kuwa hivyo maana no one has ever proove otherwise.

Inakuwaje unaamini fake news and pictures without any solid evidence ,umeniambia nifungue moyo ili nielewe?🤔🤔 it seems unataka niamini kile unachokiamini kupitia news and fake claims ?

Bring solid proof uaminike si FULANI WALISEMA HIVI IRAN WALIONA HIVI tena habari zenyewe unaleta zilizohaririwa na hizo hizo toxic sources zinazotumika kutangaza propagnda daily and you call it learning?? Cringeeeee .

Dude hebu leta solid proof hapa na sisi tuone ila bila ya hivyo nitabaki na ninachoona ni sahihi.

Question.
If hao aliens wana high tech unadhani carmouflage kwao ni big issue? .
 
Dunia nzima inapenda ushirikina. Story za alien ni ushirikina wa kizungu msihangaike nao.

Alien, Zombie,Vampire ni ushirikina wa kizungu.

Jini ni ushirikina wa kiarabu.

Sisi tuna misukule, vibwengo, mizimu na dondocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…