Huku si ndo mnaona mizimu..🤣Hii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui
Mbona macho hawafanani sasaHuku si ndo mnaona mizimu..[emoji1787]
Hayo ni maswala ya kifamilia zaidi!Mbona macho hawafanani sasa
Hata africa kuna kesi moja ya alien ilitokea zimbabwe shule moja inaitwa ariel, alikuja prof wa psychology kutoka harvard kuwahoji watoto akakubali kuwa wanachosema hao watoto ni kweli na wala hawawewesekiHii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui
Uko hawapendi kutua kwasababu wataitwa misukuleeHii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui
[emoji16][emoji16][emoji16]Hayo ni maswala ya kifamilia zaidi!
Basi wapotee hata njiaUko hawapendi kutua kwasababu wataitwa misukulee
Vinatua ila sababu sie tunashiba vihepe sana! hata tukiviona tunadhani ni kawingu tu!! au radi make vile vyombo vina kasi sana ya ajabu!!! halafu wana sehemu zao maalum za kutua!! kwa kufuata michoro ya Pyramids!! miongozo yao!Hii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui
Mshana inawezekana wanatua,ila wanatusahaulisha kama kale kamchezo walikuwa wanafanya kwenye Men in black movie.Hii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui
Ni kweli unachosema.Jibu ni Alliens abductions, wana husika moja kwa moja, hawa wana ndege zao km visosi! zikipita angani utaona km kidoti tu ivi kwa ile kasi yake!......lkn sikulaumu unawezekana wewe Mshana jr ni mmoja wao hao wa mafao!
kuna watu wanalipwa posho ili kupinga tu, na wasielimishe jamii zetu kuhusu hao Aliens! Hasa USA wanaficha na wamefanya siri miaka mingi sana! ila sababu ya pressure ya wananchi kuvamia maeneo ya Nevada kwa fujo! wamekubali wanaachia kidogo kidogo! hizo siri!
Yale mapiramidi ya Misri; get a hint! Halafu piramidi zote ziko aligned to a TRUE NORTH kwa PRECISION ya hali ya juu sanaHii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui
Mshana inawezekana wanatua,ila wanatusahaulisha kama kale kamchezo walikuwa wanafanya kwenye Men in black movie.
Labda tunaweza pata mshtuko na ikawa shida kubwa,wakati hilo sio lengo lao la kuja.
So labda wenzetu kule vibration yao kidogo ipo juu kuweza kuresonate na hao viumbe.so wakiwapata wanaanza kuwahoji ili wawasaidie kwenye mambo yao ya technology,kutawala dunia,etc.(esp jeshi la marekani sio raia tu wa kawaida)
Kumbuka wana radar zinazoona anga lao,so ni rahisi kuwaspot kama wameingia na wapi.
Kama unakubali wapo,it’s ok.nilidhani unasema sababu hawatokei huku kwetu basi ni uongo.
Ungesoma jinsi civilization levels zilivyoelezewa na mwana anga "nikolai kardashev" utagundua sisi hapa duniani ni type zero civilization na tupo level 0.72 kwenye kardashev scale (hii ni kutona na kwamba aligawa civilization kulingana na kiwango cha nguvu(energy) inayozalishwa na ubora wake kitu ambacho ni sahihi kabisa kutokana na kwamba race yoyote ili iweze ku develop inahitajia nguvu(energy) iliyo bora na potent pia ili kuweza kufanya mabadiliko makubwa ya kisayansi na teknolojia ) na hii ni kutokana kwamba bado tunatumia natural resources kama miti, petrol, jua , gas n.k kujizalishia nguvu (energy) ambayo inatumika kwenye mahitajio yetu ya kila siku na itatuchukua miaka 200 mbele ili kutoka level 0.72 hadi level 1 .Vinatua ila sababu sie tunashiba vihepe sana! hata tukiviona tunadhani ni kawingu tu!! au radi make vile vyombo vina kasi sana ya ajabu!!! halafu wana sehemu zao maalum za kutua!! kwa kufuata michoro ya Pyramids!! miongozo yao!
Pyramids/Gujarats! ni kama Beacons zao za kuwaongoza wakiwa humu Duniani wakitokea anga za juu!! humo Africa bongo wanapita sana, na watu wanachukuliwa km Masihara Mfano ni kipunguni hapo mtoto wa rafiki yangu! alipote ghafla mpaka leo!!...
kwani weye Mshana hujawahi kusikia mtu/mtoto kapotea ghafla na hawajawahi patikana mpka leo??...Mzee sungura wa mbwewe mwanae Leah nae alipotea, hakuna fununu kuwa alienda wapi! mpaka sasa...
Basi jua wana chukuliwa na Aliens, ajili ya kuwafanyia majaribio huko makwao!! Nabii Enock alichukuliwa na alliens ila mkajidanganya kuwa ametwaliwa, Musa hana kaburi mpaka leo!! ni kazi ya Alliens!
Serikali ya USA kwa muda mrefu wamekuwa na /wana mikataba ya siri Ya kuhusu anaga za juu na utengenezaji wa siraha na hawa Alliens, ...kuna lile eneo maarufu USA, kule awae yote huruhusiwi kukatiza kabisaa!! ...ukikaidi ni kifo tu kinakuhusu!
Basi jua kabisa humo ndimo Alliens wanatua na kupaa!...ni Km ilivo ndege haiwezi pita/tua popote pale bila Beacons! na wao pia wana maeneo yao ya kutua salama Duniani na kupaa salama km ilivo KM NEVADA in USA!
Kwa upande wa Africa Alliens wanatumia Pyramids za Misri na Sudan KM Beacons zao ili ku locate pa kutua salama humu Duniani, na kufanya yao!....sana sana wao wakitua Africa huwa wanakwenda kufanya yao Mt. Moriah pale ndani ya Israel,
na hapo hapo mlimani ndo kuna ''Intercontinental Radio Link za Duniani na anga za juu za kimungu!'' chunguza uone!! na kule Mtu awaye yeyote yule hakanyagi pale hovyo!! isipokuwa wachache sana ambao ni Maalumu km shadow govermnt atendees!...
Na cha kustajaabisha eneo hili ni la hifadhi za UN. Urithi wa Dunia! kwa nini?? wkt ni ka mlima ka kawaid tu?? hii ndo sababu!...na ukichunguza zaidi ndo hapa hapa ''Ascending Point ya Yesu!''...Sacred spot ya Father Abraham! ni hapa!
Kuna wale malaika walio shushwa na Mungu ''THE WATCHERS;'' ili kumfundisha Mwana damu, matumizi ya vitu mbali mbali humu Duniani, ikiwa ni pamoja na Miti/mimea km dawa basi walishuka na kupaa hapa hapa!!
Wajuvi wa mambo humu Duniani hapa kwao ni Deal na hawataki watu Mjue hili jambo!! isipokuwa sisi wachache tu, niliwahi chapisha lkn ikazimwa na Utawala wa JF, ok! km haitoshi Saddam Hussein mnamjua huyu bana ..
ilikuwa anataka nao hao alliens uribu na alifanikiwa kwa kiasi!! kuwajua na kuwa karibu nao! hawa viumbe wa anga za juu!! lkn cha moto alikiona woote mnajua humu kilicho mpata! ..ile siraha za maangamizi za saddam ilikuwa tu ni kisingizio, ili apigwe,
Sawa ameshapigwa na kufa je walizipata?? ziko wapi?? lkn pia kwa nini wamuue? na wanae wote tena wale wajeda tu!, tena vichwa? kwa kuwa ana/wana kitu kichwani ambacho aweza kitoa kwa watu wengine ikawa shida!....
na ktka uongozi ule wa Saddam, waliojua mipango ya Alliens, ktk nchi ya Iraq,.. wooote hao waliwindwa kuuawa, mmoja baada ya mwingine, na wa mwisho alikuwa Waziri wamambo ya nje wa serikali ya Saddam Hussein Mr ABDLAZIZ!
Huyu bwana aliuawa na CIA akiwa gerezani, kwa kisingizo cha kuwa na kisukari, .... walisema oooh! Sadadm ana siraha za Maangamizi!! kaficha!!..... jamani ziko wapiiii!!??/ akawaambia mie sina!! ''njooni muone basi'' wakaenda kuwona,
Nambie Mshana walizikuta??? hawakuzikuta! sasa kichapo kile cha Mbwa mwizi cha nini? ...na familia yake ikaangamizwa?.....na wkt huko nyuma yule sadam yule!! alikuwa kibaraka wao mkubwa dhidi ya serikali ya Khomein??...
kwenye ule ukibraka Bana!...sadamu hakutoka bure! ndo humo humo kwenye ukibaraka wa USA akapata faida ya kuwajua Alliens! akataka sasa awatumie kwa faid ya Iraq, Maweee!! ufilwe nyambala.....kosa!!
so kosa hili hili!! lilimgharimu Maisha Rais Sadam mwenyewe! na familia yake yotee!!...... mpaka leo U- Loyalities wa hii familia kwishne,... nani anajua walipo??? pia kwa sasa hakuna kiongozi humu Duniani atajipendekeza kuwjua Alliens! na akabaki salama!
Juzi juzi hapa Manowari za kirusi, Ndege za kisasa za ki-china zikiwa na Abiria wa kutosha zilipotea mazingira tatanishi! mpaka sasa napoandika hapa! hazijulikani zilipo! hata fununu tu!.. richa ya kutafuta sana wakihusisha na Corrona Satellight za USA(hizi zinaona hata sindano Ardhini usiku), Russia, China lkn wapi!
Juzi tu hapa kwetu ndani, tena siyo mbali na hapo kwako Msata!! ndege ya TANAPA mpyaa, nzuri ilitengenezwa south! Rubani kijana mzoefu, imepotea Mazimaaa! ikiwa na Rubani na abiria watalii wanne! ilienda wapi?? ni Pwani / Seluu, Rufiji hapo??
ndege ipotee ivi ivi??! chunguza humu utaona! richa ya misaada wa Helkopita za nchi jirani, JWTZ, na polisi kuisaka weeeeee! bila mafanikio...mpaka sasa kijana haonekani! tukaongezea na kuulizia wana vijiji woote wa maeneo husika
km waliona ndege imeanguka au fununuzozote patupu, chunguza radar zetu na nchi jirani olaaa!......mpaka sasa navo andika hapa hakuna kitu! wala fununu!
Jibu ni Alliens abductions, wana husika moja kwa moja, hawa wana ndege zao km visosi! zikipita angani utaona km kidoti tu ivi kwa ile kasi yake!......lkn sikulaumu unawezekana wewe Mshana jr ni mmoja wao hao wa mafao!
kuna watu wanalipwa posho ili kupinga tu, na wasielimishe jamii zetu kuhusu hao Aliens! Hasa USA wanaficha na wamefanya siri miaka mingi sana! ila sababu ya pressure ya wananchi kuvamia maeneo ya Nevada kwa fujo! wamekubali wanaachia kidogo kidogo! hizo siri!
Ndege moja ya Abiria kule USA ilipotea mwaka 1945, ikiwa na abiria wa kutosha tu. lkn ndg hiyo hiyo! ilipatikana mwaka jana imechakaa kweli, kweli! ikiwa na abiria wale walewoote! lkn sasa cha ajabu wakiwa na umri ule ule walio ondoka nao! hawakuchakaa! wala kuzeeka!..watoto walikuwa vile vile! wakubwa pia!
Wataalamu wa NASA wanasema ukiwa anga za juu! trend ya kuzeeka ngozi inapungua sana!...na hawa abiria nao si walikuwa anga za juu hukooo! kwa Alliens! ndo maana hakuzeeka!
Wakati abiria walipotua uwanja wa ndege kwa mshangao wale wenyeji waliwashangaa sana, na wao abiria waka washngaa sana jinsi wanavo washangaa wao!! walipoulizwa mlikuwa wapi miaka yoote hii na ndege imetafutwa mpaka wakakata tamaa,
abiria hao wali wajibu kuwa ''wanaona km wametumia masaa mawili tu! kusafiri angani kufika hapo chikago Air port!!'' japo ndege yao ilikuwa imechakaa mno na iko Old Model!....lkn kitu kikipigwa starter ikooo kinaitika!
It's conspiracy theory mkuu . Totally wrongVinatua ila sababu sie tunashiba vihepe sana! hata tukiviona tunadhani ni kawingu tu!! au radi make vile vyombo vina kasi sana ya ajabu!!! halafu wana sehemu zao maalum za kutua!! kwa kufuata michoro ya Pyramids!! miongozo yao!