Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,763
- 819
Wakuu mimi ninmkoko wangu umepata ajali na nilikuwa nimelipia comprehensive cover. Hivi nikisubmit document za polisi watarepair kweli gari langu.
Niseme nilijiunga bila kuwa na ufahamu wa kutosha.
Au nimakosa gani ya barabarani ukifanya hawa watu wa insurance hawawezi kucover.
Mimi gari yangu ilipata ajali baada ya kupasuka tairi na polisi wamethibitisha hivyo msaada please, nipo kwenye stress mbaya, kama hawatarecover gari yangu nitakuwa katika wakati mgum sana. Kwa sasa nipo Mtwara na wanaoshughurikia na CRDB kama urgent.