Nisaidieni insurance waweze kunilipa

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,602
Juzi jioni kwenye round about ya hapa Ubungo nikiwa napita na gari baada ya Traffic kuruhusu magari ghafla ikatokea pikipiki kwa upande wangu wa kushoto so kwakuwa na mimi nilikuwa navuka yule mwenye pikipiki akajibamiza kwenye taa ya kushoto ya mbele.

Watu wakajazana pale na kwa kuwa sina uzoefu wa kupata ajali. Sikuweza kumdhibiti yule jamaa moja kwa sababu alikuwa mtu mzima kidogo halafu hata sikuona kama anaweza nlipa hiyo bei ya taa. Pia pikipiki yake nayo iliumia kiasi kwenye tairi la mbele. so ikabidi nimuache aende maana sikuwa na option ingine.

Ila sasa kwenye hiyo ajali taa ya mbele mimi ndio imepasuka. Sasa nipo najiuliza ntafanya vip insurance waweze kufidia hiyo kitu.

Naombeni ushauri wenu sana wakuu. Kama mnavojua mambo yamebana sana hiyo laki mbili ya taa mpya imenikalia kushoto sana mida hii.

Bima yangu ni comprehensive.

Naomba mnishauri vitu vya kufanya ili nijue naanzaje

Ushauri please
 
Trafiki atapimaje ajali wakati umemruhusu aliyesababisha ajili aondoke?
Ili bima ikulipe ni lazima kuwe na mchoro wa ajali, aliyesababisha ajali asaini na wewe pia usaini kwamba mchoro uko sawa, ni lazima fomu za Polisi zijazwe na wewe utoe taarifa bima ukiattach document zzote muhimu iikiwepo cover note yako
 
issue yako inawezekana hata kama aliyesababisha ajali alikimbia "hit and run"
bima yako ni comprensive ama third party? kuna traffic alikua hapo hata akachukua maelezo yeyote? au hata contacts? ulichukua hata picha ya tukio ajali ? kwa maelezo yako nahisi hukukumbuka hata kuchukua bima ya mwenye pikipiki.....nijibu kwanza hayo machache.....

Na hawa Insurance hawapendi kuwapa elimu wateja wao mfano nini kifanyike unapopata ajali, na ajar ya nana gani na mazingira yep, haya mambo hata driving school zinazojielewa lazima zifundishe haya.....naonaga ajar nyingi zikitokea drivers wengi hupanick na Kuanza kuwapigia mara mafundi , wanaume bebez kama ni driver wa kike badala ya kuwasiliana na insurance....
 
wengi hapa wanazungukaaaaa tu wanshindwa kukwambia kuwa ulibugi kumuacha pkpk aondoke na trafiki asichore mchoro ajali pamoja na report

chakufanya chukua 50k (elfu hamsini) nenda kwa trafiki umpe akutungie hata ajali au kama upo vizur andaa 100k utengenezewe report ya wizi wa vifaa vya gari

trafiki/polisi wanajua hiyo michezo utatengenezewa report iliyoshiba kuwa umeibiwa hadi bumpers utajikuta bima wanakulipa hadi 1m ila ujue polisi wataondoka na 200k na pia jamaa wa bima asseser sijui naye atapoozwa hata na 100k

mjini ujanja tu....

wenzako huwa tunalipa comprehensive mwaka wa kwanza tusipopata ajali tunachonga na polisi tukio la wizi wa vifaa tunajipooza
 
Aisee upo vizurii...
 
Asante Chief.. Ntajaribu kufanya hivo ikishindakana basi tena nimekula hasara
 
wengi hapa wanazungukaaaaa tu wanshindwa kukwambia kuwa ulibugi kumuacha pkpk aondoke na trafiki asichore mchoro ajali pamoja na report

chakufanya chukua 50k (elfu hamsini) nenda kwa trafiki umpe akutungie hata ajali au kama upo vizur andaa 100k utengenezewe report ya wizi wa vifaa vya gari

trafiki/polisi wanajua hiyo michezo utatengenezewa report iliyoshiba kuwa umeibiwa hadi bumpers utajikuta bima wanakulipa hadi 1m ila ujue polisi wataondoka na 200k na pia jamaa wa bima asseser sijui naye atapoozwa hata na 100k

mjini ujanja tu....

wenzako huwa tunalipa comprehensive mwaka wa kwanza tusipopata ajali tunachonga na polisi tukio la wizi wa vifaa tunajipooza
Thanks mkuu .. Aisee ntakutafuta kiongozi
 
issue yako inawezekana hata kama aliyesababisha ajali alikimbia "hit and run"
bima yako ni comprensive ama third party? kuna traffic alikua hapo hata akachukua maelezo yeyote? au hata contacts? ulichukua hata picha ya tukio ajali ? kwa maelezo yako nahisi hukukumbuka hata kuchukua bima ya mwenye pikipiki.....nijibu kwanza hayo machache.....

Na hawa Insurance hawapendi kuwapa elimu wateja wao mfano nini kifanyike unapopata ajali, na ajar ya nana gani na mazingira yep, haya mambo hata driving school zinazojielewa lazima zifundishe haya.....naonaga ajar nyingi zikitokea drivers wengi hupanick na Kuanza kuwapigia mara mafundi , wanaume bebez kama ni driver wa kike badala ya kuwasiliana na insurance....
Insurance ni comprehenzive kiongozi.. Embu nipe ujanja mkuu
 
wengi hapa wanazungukaaaaa tu wanshindwa kukwambia kuwa ulibugi kumuacha pkpk aondoke na trafiki asichore mchoro ajali pamoja na report

chakufanya chukua 50k (elfu hamsini) nenda kwa trafiki umpe akutungie hata ajali au kama upo vizur andaa 100k utengenezewe report ya wizi wa vifaa vya gari

trafiki/polisi wanajua hiyo michezo utatengenezewa report iliyoshiba kuwa umeibiwa hadi bumpers utajikuta bima wanakulipa hadi 1m ila ujue polisi wataondoka na 200k na pia jamaa wa bima asseser sijui naye atapoozwa hata na 100k

mjini ujanja tu....

wenzako huwa tunalipa comprehensive mwaka wa kwanza tusipopata ajali tunachonga na polisi tukio la wizi wa vifaa tunajipooza
Huu ni wizi kama ulivyo wizi mwingine na ni jambo baya kabisa.
 
Back
Top Bottom