Kuhusu chipsi kwa mwanaume

Kuhusu chipsi kwa mwanaume

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,487
Reaction score
65,822
Hellow

Mimi nasema chips ni chakula kama vile wali hakiongezi kitu chochote mwilini wala kupunguza acheni kudanganywa na wanasayansi wa mchongo kuwa chips et zinapunguza nguvu za kiume iyo ini UONGO ULIO KUBUUU

Kula ugali ni umasikini wetu uku afrika uko wazungu ambao ni binadamu kama sisi hiko chakula wanawapa mifugo kwahio sisi tumevamia chakula cha mifugo na kufanya ni chakula chetu

Naludi tena sisi wa afrika tunakula hili tusife njaa hila sio kwamba tuna kula chakula wanaume wezangu ambao mbapenda chips zege kuleni kwani tangu umeeza kula babu akasiliki? je afanyi kazi?

Nguvu zinahitajika uki bariadi kulima sio kwenye mapenzi mapenzi ni ujanja na utundu
[mention]mpwayungu village [/mention] next time ukule chips uache makasiriko ata ukinikuta sehemu wewe niambie nitakununulia kama huna hela asante

Najua kuna watu watanichamba hapa kuwa na mwandiko mbaya naenda kulala ili nione hiyo michambo
 
Write your reply...Nyie ndo mnaishusha heshima ya wanaume.Mnakomalia vyakula vya mafuta afu mkitunukiwa mbususu na mademu zenu mnapiga show mbovu dakika tano nyingi dushe limeshalegea.

Acha kula vyakula vya kitoto we Ni mwanaume bana.
 
Mahindi ni maalum kwa chakula cha mifugo na pop corn tu. jamii ambayo inakula sana ugali upstairs wanashida sana

agiza chips kuku na koka baridi nakuja kulipa mkuuu
 
Write your reply...Nyie ndo mnaishusha heshima ya wanaume.Mnakomalia vyakula vya mafuta afu mkitunukiwa mbususu na mademu zenu mnapiga show mbovu dakika tano nyingi dushe limeshalegea.

Acha kula vyakula vya kitoto we Ni mwanaume bana.

Niletee shemeji nisipo mlizisha niite mbwa
 
Back
Top Bottom