Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,365
- 10,424
Basi hapo mwenye ushawishi zaidi kidini ni huyo wa Iraq huku wa Iran ana ushawishi zaidi kisiasaHata wa Iraq si kiongozi wa wa washia wote duniani ila kidogo anaaminiwa na kwenda kuombwq ushauri na washia wanaotoka sehemu tofauti dniani kutokana na kuwa mfumo wa washia wa Iraq ulibaki kama ulivyokuwa mwanzo kwamba siasa haichangangwi sana na dini, pia najaf ni kituo Cha kale zaidi Cha uanazuoni ukilinganisha na Qom.
Mfumo huu wa washia wa kiiran ni WA kibabe kimtindo kwani unaingilia siasa tangu mapinduzi ya Iran ya mwishoni mwa miaka ya 70.
Kwani we unashawishiwa na yupi kati ya wawili hawa.Basi hapo mwenye ushawishi zaidi kidini ni huyo wa Iraq huku wa Iran ana ushawishi zaidi kisiasa
HakunaKwani we unashawishiwa na yupi kati ya wawili hawa.
Anhaaa! kumbe wewe ni wa dhehebu la Sunni.Hakuna
Nani amekuambia🤣Anhaaa! kumbe wewe ni wa dhehebu la Sunni.
Nilioneshwa kwenye ndoto Jana usiku.Nani amekuambia🤣
Hiyo ndoto ni ya uongoNilioneshwa kwenye ndoto Jana usiku.
Au wewe ni mlokole, kumaanisha kuwa 'unamkanya shetani' na wakati mwingine ukichanganyikiwa 'unalibariki jina la mungu'.Hiyo ndoto ni ya uongo
Hapana kabisaAu wewe ni mlokole, kumaanisha kuwa 'unamkanya shetani' na wakati mwingine ukichanganyikiwa 'unalibariki jina la mungu'.
Basi namaliza Kwa kusema wewe ni atheist kama mtumzima secretarybird.Hapana kabisa
Sio Atheist mimi ni MuuminiBasi namaliza Kwa kusema wewe ni atheist kama mtumzima secretarybird.
Baada ya kusema hayo najifunika shuka na kulala usingizi wa pono😎.
Wa nini/wapi?Sio Atheist mimi ni Muumini
Muumini wa AllahWa nini/wapi?
Haya bhana, usiku mwema mkuu.Muumini wa Allah
Mufti ni kama mjumbe wa Nyumba 10 tuWakuu hivi cheo alicho kuwa nacho ayatollah yule jamaa aliepigwa bomu ndo sawa na cheo cha mufti wetu hapa Tanzania?
Asante
kuna mmoja alisema ukoo wa ayatollah umekuwepo tangia enz na enz, na akasema ni rahisi kupata koromeo la shetani kuliko kumuua ayatollah, alipoliwa kichwa juzi kirahisi tu nilitamani nimtag mwamba ila nikawa sikumbuki id yake, tuwavumilie tu mkuu.Yah naona watu wengi wanachanganya hayo majina, hata Waislamu wenyewe wanajua Ayatollah n huyo jamaa wakati hilo n jina la cheo.
-Mufti ni cheo cha uongozi wa dini kuongoza waumini kwa kutoa ufafanuzi na maamuzi yanayoendana na sheria za dini,ila ni cheo chenye mipaka.Wakuu hivi cheo alicho kuwa nacho ayatollah yule jamaa aliepigwa bomu ndo sawa na cheo cha mufti wetu hapa Tanzania?
Asante
Naomba kuuliza mkuu.-Mufti ni cheo cha uongozi wa dini kuongoza waumini kwa kutoa ufafanuzi na maamuzi yanayoendana na sheria za dini,ila ni cheo chenye mipaka.
Mathalan hapa Tanzania Mufti yeye hajihusishi na mengine isipokua dini tu,na yeye wala sio kiongozi wa juu kuliko wote hata nchi ingekua ya kiislam kiongozi mkuu angekua Amiirul Muuminiim na sio Mufti.
-Kwa shia ama waajemi Ayatollah ni sawa na kusema AMIIRUL MUUMINIIM kiongozi wa kiislam ambaye anatawala KIDINI NA KISIASA. Yeye ni top leader katika ngazi zote za KIDINI NA KISIASA. Anatoa ufafanuzi na maamuzi katika ngazi ya sheria za kidini na kisiasa na yeye ndiye kiongozi mkubwa kuliko wote ikiwemo rais anaripoti kwake.
Rais ana umuhimu kuwepo.Naomba kuuliza mkuu.
Hivi haijawahi kutokea hao waajemi wakatoa hoja ya kutowepo rais coz naona hana faida