Unapozungumzia bikira,ni yule gal ambae hajawah kukutana kimapenz na mwanaume yoyote yule.
Suala la kwamba ukimtoa bikra,halafu akija kuolewa na mwingine atataka muwe mnacheat,huyo siyo bikra tena,coz ulishamtoa,na mwanaume wa kwanza kabisa,makes them to cry,na huwaweka akilin mno.
Bikira original wengi siyo macheaters.and they believe that walivyo wao na wapenzi wao wa kiume wawe hivyo hivyo.kitu ambacho ni kigumu kwa baadhi ya wanaume kuwa na huyo tu.
Mkiachana au kumwagana na vibinti bikra,kama bado hujatembea nae,kaa hata mwaka mzima,jifanye kumtafuta,utamkuta single,otherwise alikuwa katika harakati za kuolewa.hapo utakuta kashaolewa,au anatarajia.rather than that,mlipoishia,palepale utamkuta hivyo hivyo.
Ukimwagana nae after sometimes ukasikia anamtu,c bikra huyo..
The word i miss u to them is so limited.Atakumic but hakuambii,akikuambia,ujue kakumis kweli.They are type of shy girls.
Girls wengi hupenda company ya wavulana,hata boys hupenda company ya wasichana.Hawa watu most of their company ni gals wenzao.Muulize mtu ambae ashatolewa bikra yake,rafik zako ni nani?,utasikia,i like boys coy,rafiki zangu ni yuda,is so nice to me,
Uliza hawa mabikira,utasikia i have one bestfnd may be elizabeth,mara nyingi ndo coy yangu.
Wanahasira hawa mabinti mno.but when it kams to their boyfnd,wanatulia mno.
Wanapenda attention yako mwanaume wake.ukimsahau kidogo anakuwa depresd kinoma na hakuambii,siku ukiwa unaongea nae ndo atakuambia.
They are antsocial,quite, and cool.
Kama una gal bikra,mchunguze kwa hayo,otherwise utauziwa gunia bila kitu ndan yake.
You have the point. Ukimtoa bikra tena pengine kwa kubaka au ulaghai msichana huyo atakuchukia maisha yako yote.Cdhani kama kutoa bikra is such a big dil ila anayepiga kazi fresh nafikiri ndio huwa mara nyingi anapewa nafasi ya kukumbukwa zaidi.
lawalawa = pipi
Arusha ndo twaita hivi
Hili ni suala la kiimani zaidi! Ni kwel huenda yeye alietolewa asikusahau endapo tendo hlo lilitendeka ktk ridhaa ya kutazamia kuoana yan kuwa wana ndoa. Kumbuken kuna maagano ya damu, agano la aina hi zaid ni la kiiman, shetan huhtaj damu il kufanya agano, na ndio mana twaweza shuhudia ajal nyng sizoelezeka, yale ni maagano wakat mwngne shetan hufanya na wanadam (matajir) kwa lengo la kutaka mali. Pindi binti anapovunjwa bikra hua kuna damu inatoka, damu ile ktk ulimwengu wa roho tayar ni agano! Ndo mana ni dhambi na hairuhusiwi kufanya tendo hlo nje ya Agano kamili (ndoa). Vijana weng kwa kujua au kutokujua wamekua wakizuia baraka zao km vile kukosa aman ktk ndoa na kukosa watoto pind waingiapo ktk ndoa, kisa utakuta kumbe alfanya agan la damu na binti fulan na akamwacha, endapo binti huyo alieachwa ataendelea kusononeka na kuumia, anao uwezo wa kutamka laana yoyote juu ya ndoa yako na ikakupata kwan mamlaka anayo juu ya uhai na baraka zako. Vijana jizuieni kufanya haya ili kunusuru maisha yenu ya badae ya ndoa! Na wale ambao wapo kwny ndoa na wanaona hakuna baraka ktk ndoa zao, wamekosa watoto, hawaelewan ndan ya ndoa zao, ni vema wakakaa na kutafakar wap walfanya maagano ya damu, na watafute njia ya kuvunja maagano hayo, aidha waonen viongoz wa kiroho kwa ushaur zaid. Achen uzinzi!