Kuhusu BEFORWARD TZ pls

Kuhusu BEFORWARD TZ pls

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,898
samahani wandugu kwa wale wenye uelewa na kampuni ya beforward.jp, nimesikia ofisi zao zipo hapa dsm. hivi nikitaka kununua gari kupitia kampuni yao, natakiwa kwenda huko ofisini kwao kulipia pesa na kufanya arrangement zote au nafanyaje? na je, usalama wa gari kupitia kampuni yao ukoje ili nisipigwe pesa zangu. nitashukuru kwa wale watakaonishauri. thanks.
 
Wewe nenda tu.ni wajapan wenyewe wanaaminika sana.ofisi zao zipo karibu na ocean road hosp.lile jengo jipya kuubwa pale floor ya chiini kabisa.
 
samahani wandugu kwa wale wenye uelewa na kampuni ya beforward.jp, nimesikia ofisi zao zipo hapa dsm. hivi nikitaka kununua gari kupitia kampuni yao, natakiwa kwenda huko ofisini kwao kulipia pesa na kufanya arrangement zote au nafanyaje? na je, usalama wa gari kupitia kampuni yao ukoje ili nisipigwe pesa zangu. nitashukuru kwa wale watakaonishauri. thanks.

utalipia kwa kutumia bank yako

kabla ya kulipia nenda ofisi zao, hakiki account number

ukilipia wape copy ya TT

wataituma japan na utapata confirmation kuwa umelipia (kupitia email)

then you will proceed na emails communications
 
Usije ukaagiza kwa kutumia ofisi zao za Dar. Agiza moja kwa moja mtandaoni ukalipie benk. Gari likija tumia agent wako usitumie agent wa ofisi zao
 
utalipia kwa kutumia bank yako

kabla ya kulipia nenda ofisi zao, hakiki account number

ukilipia wape copy ya TT

wataituma japan na utapata confirmation kuwa umelipia (kupitia email)

then you will proceed na emails communications

Kwakuongezea usalama wa gari ni 100% na hakuna utapeli wa kupigwa pesa.
 
Nina uzoefu wa kuagiza magari through beforward. Ukitumia ofisi za dar kama agent wa kufanya clearing ueumia ndugu yangu. Ni PM kwa undani zaidi
 
samahani wandugu kwa wale wenye uelewa na kampuni ya beforward.jp, nimesikia ofisi zao zipo hapa dsm. hivi nikitaka kununua gari kupitia kampuni yao, natakiwa kwenda huko ofisini kwao kulipia pesa na kufanya arrangement zote au nafanyaje? na je, usalama wa gari kupitia kampuni yao ukoje ili nisipigwe pesa zangu. nitashukuru kwa wale watakaonishauri. thanks.
ndugu yangu hawa jamaa wako vizuri nenda ofini kwao ,kikubwa fanya chaguzi ya gari yako kisha una oda na kulipia kwa njia ya mtandao hakiki email adress yao na accaunt namba,
 
nashukuru sana kwa wote mlionishauri. Mungu awabariki.
 
Nina uzoefu wa kuagiza magari through beforward. Ukitumia ofisi za dar kama agent wa kufanya clearing ueumia ndugu yangu. Ni PM kwa undani zaidi

Yaani hapa nilipo napata Shida kuna jamaa yangu aliagiza gari akawaachia waitoe wenyewe, amechoka karudi mkoani baada ya kufuatilia sana kaniachia nimsaidie, na wenyewe wapo comfortable hawahangaiki, kila sehemu wananiambia nenda mwenyewe kaulizie hata TRA, ukitaka kuwasubiri basi na storage bandarini itakuua, USIJARIBU Kuwatumia km agent wa gari yako!
 
usijifunge kwa kutumia dealer mmoja nenda tradecar view, chagua gari unayotaka kutoka kwa dealer yeyote, kubalianeni bei, tuma pesa kupitia PAYTRADE special tradecar view account wataihold hiyo pesa mpaka gari yako itakapotumwa wakiconfirm kuwa gari imetumwa watarelease pesa kwa dealer hiyo ni kwa ajili ya usalama wa pesa zako, inachukua wiki mbili kukagua na taratibu za kuituma na inachukua siku 28 baharini, hivyo siku 45 toka kulipa pesa mpaka gari yako kufika bandarini dar.
 
nasikia hawa watu wamefungua account crdb. ni kweli? na je unaweza kufanya malipo kwenye hiyo account?
 
Back
Top Bottom