Kuhusu bandari kavu ya Kwala

Kuhusu bandari kavu ya Kwala

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,190
Tunamshukuru Mhe. Rais kwa kufungua Bandari kavu ya Kwala. Kwenye taarifa ya Mhe. Waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais alitamka yafuatayo:-
(1) Bandari kavu itahudumia makasha takriban laki tatu kwa mwaka.
(2) Huduma ya Bandari kavu ya Kwala ni asilimia 30 tu ya makasha yote yatakayoingia nchini.

Swali:- Kwa nini Serikali isitafute eneo kubwa ili iweze kuhudumia makasha yaote yatakayoingia nchini ambayo ni takriban makasha 3 millioni?. (2) Kwa nini Serikali imeachia ICDS nyingi kuhudumia makasha mengi huku ikiwa na uwezo wa kuyahudumia makasha yote kwa mwaka mzima.
Ni vema Serikali ikaliona hili ili iweze kutafuta eneo kubwa ili iweze kuhudumia makasha yote kuliko hivi sasa kuwa na uwezo wa kuhudumia asilimia 30 tu ya makasha yote.
 
Back
Top Bottom