Kuhusu ajira za ualimu

Kuhusu ajira za ualimu

King More

Senior Member
Joined
Feb 1, 2016
Posts
102
Reaction score
54
Kakangu amehitimu diploma ya Early childhood education mwaka 2016 alianzia ngazi ya cheti baadae Diploma.

Matokeo ya form 4 ana div four ya 32 na D ziko 3 je anaweza kupata nafasi ya kuajiriwa au mpaka atafute D ya nne?
 
Kakangu amehitimu diploma ya Early childhood education mwaka 2016 alianzia ngazi ya cheti baadae diploma,

Matokeo ya form 4 ana div four ya 32 na D ziko 3 je anaweza kupata nafasi ya kuajiriwa au mpaka atafute D ya nne?
Kama vyeti anavyo. Necta na nacte wanavitambua basi ruksa kufanya maombi
 
Vyeti vyote anavyo, mwaka juzi aliomba akakosa sasa ndio tunahisi labda cheti cha form 4 ndio kinamkosesha kazi
Kasoma chuo gani?hapo ndio utapata jibu halisi maana kama chuo alichosoma hakina usajiri wa NACTE itakuwa ngumu kupata.

Mashaka yanakuja hapo kwenye div 4 ya 32 maana hakuna chuo kilicho na usajiri wa NACTE utapata nafasi ya kusoma CERTIFICATE kwa sifa hiyo, tena ualimu

Maana hapo nyuma kipindi cha KIKWETE ilikuwa div 4 ya 27 mwisho ila miaka ya karibuni wanahitaji div 3 mwisho
Sasa huyo ndugu yako alisoma kipindi gani?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Chuo kina usajiri wa Nacte, na alidahiliwa kwa ngazi ya cheti akamaliza akaendelea na diploma katika chuo hicho hicho
Kasoma chuo gani?hapo ndio utapata jibu halisi maana kama chuo alichosoma hakina usajiri wa NACTE itakuwa ngumu kupata....
Mashaka yanakuja hapo kwenye div 4 ya 32 maana hakuna chuo kilicho na usajiri wa NACTE utapata nafasi ya kusoma CERTIFICATE kwa sifa hiyo.....tena ualimu,
Maana hapo nyuma kipindi cha KIKWETE ilikuwa div 4 ya 27 mwisho ila miaka ya karibuni wanahitaji div 3 mwisho...
Sasa huyo ndugu yako alisoma kipindi gani?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kasoma chuo gani?hapo ndio utapata jibu halisi maana kama chuo alichosoma hakina usajiri wa NACTE itakuwa ngumu kupata....
Mashaka yanakuja hapo kwenye div 4 ya 32 maana hakuna chuo kilicho na usajiri wa NACTE utapata nafasi ya kusoma CERTIFICATE kwa sifa hiyo.....tena ualimu,
Maana hapo nyuma kipindi cha KIKWETE ilikuwa div 4 ya 27 mwisho ila miaka ya karibuni wanahitaji div 3 mwisho...
Sasa huyo ndugu yako alisoma kipindi gani?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kama una D chini ya 4 unaweza soma chuo ILA...
1. Utasoma mwisho diploma
2. Ili kwenda bachelor
i. Utatakiwa kutafuta D mpaka zitimie 4
ii. Miaka ya 2014/15 ilikuwa kama hii (i) hapo juu ni shida kwako, basi unaweza kupitia foundation course ukiwa na Diploma then hiyo foundation course itakupa fursa ya kusoma Bachelor.

Kwasasa foundation course inatolewa Open University tu, sasa sijajua kama wanasoma wenye D chini ya 4 za Form 4 pia.
Maana niliambiwa huwa wanasoma wale ambao hawajapata kigezo cha kuingia bachelor (GPA less than 2.5).

#YNWA
 
KWA YEYOTE ANAEMBIWA
1.ACCOUNT ALREADY EXIST
2. UNAUTHORISED USER
3. BAD CREDENTIAL
4. NIDA NUMBER ALREADY EXIST
5. WANAOHITAJI KUMALIZA APPLICATION
6. WANAOTAKA KUFUNGUA ACCOUNT.
7. ALIYESAHAU PASSWORD ACCOUNT.
KARIBU TUMALIZE MUDA BADO UNGALI UPO.

UMBALI SI TATIZO

NITAFUTE 0621060153
whatsap 0753070139

KARIBU SANA.

GHARAMA NI NDOGO.
 
Back
Top Bottom