mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,910
- 18,558
Tatizo watanzania tuna mawazo ya kuajiriwa tu. Mshauri kaka yako afungue DAY CARE CENTRE kama hatua ya awali ya kujiajiri. Baadaye itamwezesha kuigeuza na kuwa Nursery School (Pre-Primary Education). Kisha mdogo mdogo kila mwaka anajenga darasa moja na kufungua Pre & Primary School. Ndani ya miaka 15 ijayo atakuwa milionea wa ukweli!! Lakini ndani ya miaka 15 kwenye ajira anayoitafuta atakuwa bado analilia nyongeza ya mshahara ya sh 10,000/= kwa MWAKA!!!!Kakangu amehitimu diploma ya Early childhood education mwaka 2016 alianzia ngazi ya cheti baadae diploma,
Matokeo ya form 4 ana div four ya 32 na D ziko 3 je anaweza kupata nafasi ya kuajiriwa au mpaka atafute D ya nne?