28mkorinto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 416
- 204
Swala la asilimia kumi na tano la makato ya bodi halina ukweli wowote na nadhani kama kuna mtu amakurupuka ndo huyu kamzidi hata yule wa TANESCO kama wanaita mkopo basi ni makubaliano ya pande mbili na makubaliano na form tulizojaza ni 8%.
Sasa kama 15% imeibuka inapaswa kuanza na mwaka mpya wa masomo na sio wale waliosign mkataba wa 8% hakuna sheria ya mkopo inaruhusu pande moja kujipandishia tu labda waseme sio mkopo walitusaidia na wanataka pesa zao ila kama mkopo hapa wamekosea na hata tukifungua kesi lazima tushinde.