Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,476
- 2,796
Daah!! Kweeeelii aisee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iko hivi;
~asikose supu ya samaki daily
~MAYAI 2 ya Kuku wa kienyeji daily,
~full bundle daily
~Akiba ndani laki 5
~Usafiri wa gari,hata SOKONI
~Kila siku unamwimbia nyimbo nzuri
~Hakikisha kliniki upo naye
~Ndizi,matunda visikose mezani
~Maziwa fresh na mtindi viwepo
Nk.
*usimgombeze
*asinywe Dawa bila ushauri wa Doctor
Kibongobongo iko hivyo
Hapo kwenye gari hapo nakaziaMsikilize yeye anataka nini na wewe unaweza nini.
Kama unauwezo mkubwa, akitaka gari we mnunulie tu.
Kama ni choka mbaya, hicho unachokipata gawana nae nusu kwa nusu
Mtoto anataka kuona vikatuni tangia tumboniHaaahaaa......full bundle
Ushapata wa kukuzalia au bado .....incubator nipo hapa nakutotolea copy moja matata sanaaaa rangi ya mtumeAkizaliwa fanya hivyohivyo.
Aisee,
Mimi hakuna kitu nathamini kama mtoto.
Ndio mana siwezi kuzaa kama sijajipanga. Na nimepanga nitazaa mtoto mmoja tu.
Nataka mwanangu apate mahitaji yote ya msingi na zaidi.
Kiumbe unachokileta duniani bila chenyewe kutaka alafu kinakuja kupata shida ni kukitesa.
Huwa nashangaa kwanini watu ni masikini alafu wanazaa.
Mtoto mmoja?[emoji15] [emoji15]Akizaliwa fanya hivyohivyo.
Aisee,
Mimi hakuna kitu nathamini kama mtoto.
Ndio mana siwezi kuzaa kama sijajipanga. Na nimepanga nitazaa mtoto mmoja tu.
Nataka mwanangu apate mahitaji yote ya msingi na zaidi.
Kiumbe unachokileta duniani bila chenyewe kutaka alafu kinakuja kupata shida ni kukitesa.
Huwa nashangaa kwanini watu ni masikini alafu wanazaa.
Told him[emoji122] [emoji122]Kumleta kiumbe duniani ni zawadi kubwa sana ndiyo maana hutakiwa kulalama kama wazazi wako ni masikini.
Kila mtoto anazaliwa na sahani yake.
No matter how the situation is worse watoto watakuwa tu kikubwa wapate chakula mengine majaliwa ya mwenyezi mungu.Usicomplecate maisha ndugu.
Katoto kamoja hiyo ni zaidi ya ubinafsi.
Bwaaaaawaaaahaaa...unapenda mkoko we bidada![emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kwenye gari hapo nakazia
Huuuhuuuuuu....mbavu zanguMtoto anataka kuona vikatuni tangia tumboni
Haaahaaa...zesh unaniachaga hoi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushapata wa kukuzalia au bado .....incubator nipo hapa nakutotolea copy moja matata sanaaaa rangi ya mtume
Haaahaaa...zesh unaniachaga hoi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahahaha jamanHuuuhuuuuuu....mbavu zangu
Umeanza shost!
Yaani hata la kuazima me nalipenda tuBwaaaaawaaaahaaa...unapenda mkoko we bidada![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una huo ugonjwa kama mimi!...nimelaanika na magari asee!
Haaahaaa......we kibokoYaani hata la kuazima me nalipenda tu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Haaahaaa......we kiboko
Kwa hiyo masikini tusizae mkuu?Akizaliwa fanya hivyohivyo.
Aisee,
Mimi hakuna kitu nathamini kama mtoto.
Ndio mana siwezi kuzaa kama sijajipanga. Na nimepanga nitazaa mtoto mmoja tu.
Nataka mwanangu apate mahitaji yote ya msingi na zaidi.
Kiumbe unachokileta duniani bila chenyewe kutaka alafu kinakuja kupata shida ni kukitesa.
Huwa nashangaa kwanini watu ni masikini alafu wanazaa.
We huijui jf...humu ni stori na kuchana bandama basi!Kwa hiyo masikini tusizae mkuu?
Upo serious?
Mimi tu ndio sijapanda dreamliner humu ndani.We huijui jf...humu ni stori na kuchana bandama basi!
Uhalisia wa maisha ni mtaani huko!
nilwahi jiuliza hili swali nikajibiwa maskin wake watoto tajiri zake mali..Akizaliwa fanya hivyohivyo.