Hebu fafanua mkuu, kubana kwa namna gani?Lazima umtie mke wako ili ndio isibane sna
Wewe huna uzoefu mzeeSubira waliowahi kuhudumia mimba wanakuja.
[emoji4][emoji4][emoji4]Lazima umtie mke wako ili ndio isibane sna
Nimeanza kupata mwanga. Kwa hiyo mahitaji halisi sana sana ni misosi sio?Kuudumia mimba ni kumuhudumia mwanamke uliyemtia mimba yaani kumtunza hapate lishe bora hili na mtoto wako tumboni awezi kupata lishe na vimelea hai imara hili azaliwe akiwa na afya njema Ahsante
Asante sana. Umeeleza vitu ambavyo sikuwa navifahamu. Bila shaka na wengine watajifunza hapaChakula cha kutosha.
Mavazi asionekane yupo rough.
Matibabu nikimaanisha chanjo kwa ajili ya mama na mtoto
Kuhudhuria clinic.
Na mengine mengi wadau wataongezea
kuna mengiWadau wa jukwaa hili bila shaka muwazima. Nina swali ninaomba kujuzwa. Je ni mahitaji gani yanahitajika kutolewa na mwanaume kwenye kuhudumia mimba? Kwa sababu kuhudumia mtoto inafahamika wazi mahitaji yake. Ninaomba kueleweshwa mahitaji yahusuyo kuhudumia mimba.
Nawasilisha
mi ni baba wa watoto wa nne ndani ya ndoa mkuu na kikosi nje[emoji2] [emoji2] [emoji2] kama ushawahi kwenda mwaga maujuzi hapa mzee baba
Nakusalimukuna mengi
tuanze nawewe hali ya mtu pia huwezi kutoa kiasi kingi kama huna .
Vitu vilivyopo vya kawaida ni hela ya chakula kwa maana atakula sana.
kingine mavazi mwanamke anatakiwa apendeze jamani awe smart.
kingine mwanzishe cliniki kuanzia mwezi mmoja mpaka tamati .
kingine .
mazingira anayoyatumia yawe masafi.
kunzia kitanda chandarua na pia chumba chenyewe kiwe kisafi.
hapo nimejikujibu.
halafu upendo awe na amani usimkere mwambie kitu kwa upendo.
Katoto kazuri nimefarijika na haya uliyoeleza kwa ufasaha. Kikubwa nilichojifunza ni kuanzia chakula, mavazi, malazi, afya, na upendo. Ila itategemeana na uwezo wa kifedha.kuna mengi
tuanze nawewe hali ya mtu pia huwezi kutoa kiasi kingi kama huna .
Vitu vilivyopo vya kawaida ni hela ya chakula kwa maana atakula sana.
kingine mavazi mwanamke anatakiwa apendeze jamani awe smart.
kingine mwanzishe cliniki kuanzia mwezi mmoja mpaka tamati .
kingine .
mazingira anayoyatumia yawe masafi.
kunzia kitanda chandarua na pia chumba chenyewe kiwe kisafi.
hapo nimejikujibu.
halafu upendo awe na amani usimkere mwambie kitu kwa upendo.
Hongera kwa lipi unalompa?Mimi nakupa hongera tu