Hapo zamani nilikuwa nikishangaa sana kuona mwanaume anahonga hadi laki kwa mwanamke, au kumpangishia chumba au nyumba mwanamke, zangu ilikuwa sana sana elfu 10 tu au hakuna kitu, siku hizi alhamdulilah nikipata toto limejazia nyama, bambataa la haja, lenye shape ya kuchanganya mwanaume, kuhonga sioni shida tena.
ngoja na mie nijaribu kumention miss strongUkiwa log in chini ya huyo unaetaka kum quote kama simu imeandikwa reply then una click alafu unaandika yako sasa........
Kama unataka kum mention mtu unaandika @ halafu huachi nafasi then unaandika jina lake kama miss strong, itatokea hivi miss strong
JEKI mwenzio nimeweza tayari. Ebu na wewe jaribu.Ukiwa log in chini ya huyo unaetaka kum quote kama simu imeandikwa reply then una click alafu unaandika yako sasa........
Kama unataka kum mention mtu unaandika @ halafu huachi nafasi then unaandika jina lake kama miss strong, itatokea hivi miss strong
haha hahaaaaa.... hebu mnitake radhi tafadhali