kuhonga ni.....

mmeshaanza TF na LIZZY..! ngoja nimuite referee mr. rocky aje fasta..! mimi siyawezi haya..!
driller mimi nataka kuhonga banaa nisipohonga sijisikii kama nimekamilika kabisa sasa hapa namuuliza Lizzy anataka nimuhonge kitu gani
 
ina msaada kwenye real love..?
Hii ndo inaonyesha uhusiano uliopo kati ya watu katika mapenzi, kujitoa zaidi ya kawaida. Na kwa ujumla linatumika tu pale wahusika wanakuwa hawana mipango ya kimaisha. Lakini kwenye penzi la kweli, kumpa mpenzi wangu ni sawa na kujipa mimi. Hii inaenda na ukweli wa matatizo yanayohitaji pesa siyo yale ya kutegeneza.
 
driller mimi nataka kuhonga banaa nisipohonga sijisikii kama nimekamilika kabisa sasa hapa namuuliza Lizzy anataka nimuhonge kitu gani

ila kuhongwa kuna raha yake bwana,haswa ukute anayejua kuhonga, mwenye nazo(maana mwanaume mwenye pesa ya mawazo atakuhesabia vitu vyote alivyokuhonga) yaani anakuhonga leo kesho anakuuliza 'baby kitu flani unakitaka?' ukimwambia yes anakuletea na fweza juu! Mashalaaaa iam missing those days!
 
siku hizi kuna Super trick inaitwa Ching Chong
hachomoi mtu hata ziwa victoria atahonga

sitaisema maana ntawaharibia watumiaji

ndo maana yake, wanapokea rushwa. Hahahaha hujawahi ona mwanaume akihonga anavyopetiwapetiwa, atapewa huduma mpaka achanganyikiwe, baby, darling zitamwagwa vilivyo!
 
sio wale wa wewe hiyo simu nilikununulia, afu na saa, afu na viatu.
Mkikosana wengine wanadai tena kwa matarumbeta ya kukodi

ila kuhongwa kuna raha yake bwana,haswa ukute anayejua kuhonga, mwenye nazo(maana mwanaume mwenye pesa ya mawazo atakuhesabia vitu vyote alivyokuhonga) yaani anakuhonga leo kesho anakuuliza 'baby kitu flani unakitaka?' ukimwambia yes anakuletea na fweza juu! Mashalaaaa iam missing those days!
 
driller mimi nataka kuhonga banaa nisipohonga sijisikii kama nimekamilika kabisa sasa hapa namuuliza Lizzy anataka nimuhonge kitu gani

hahahaaaa akikwambia sport 5.0 mzee utaumwa kichwa..! hivi wanao honga hua wanaulizaa..? au hua wanatoa tu kwa kutaka kuvuta ndege aje kwenye tundu bovu..?
 
ndo maana yake, wanapokea rushwa. Hahahaha hujawahi ona mwanaume akihonga anavyopetiwapetiwa, atapewa huduma mpaka achanganyikiwe, baby, darling zitamwagwa vilivyo!

aaaahhahahaaaaa...! uuuuwiiii asee umeniacha mbavu zangu zinataka ku crack...! so hongo inaongeza yale feki nini..! manake kama mpaka kuhongwa ndo yatoke..! so kuna kitu kinacho yatoa au veeep..!
 
usijali mhongaji huwa hachunwi, yanachunwa mabata na mavitimoto tu ambayo ngozi za mawazo
kwa hiyo ya kulazimishiwa

hahaaaaa..! sasa wataalamu wanasemaje ili mtu aache kua bata kama ndo amezaliwa domo zege..!?
 
Hehehehe. . . unataka kunidanganya na knock off ehhh?
Halafu jibaba huwa ninahonga EURO na POUND tu hayo madafu sijui dollar mimi huwa huwa sina ishu hizo kabisa mambo ya shilingi imeyumba, sijui dollar imeshukaa thamani nani anayataka
 
ila kuhongwa kuna raha yake bwana,haswa ukute anayejua kuhonga, mwenye nazo(maana mwanaume mwenye pesa ya mawazo atakuhesabia vitu vyote alivyokuhonga) yaani anakuhonga leo kesho anakuuliza 'baby kitu flani unakitaka?' ukimwambia yes anakuletea na fweza juu! Mashalaaaa iam missing those days!
Hhahahaha!! Nimecheka kweli aisee...lol
 
Halafu jibaba huwa ninahonga EURO na POUND tu hayo madafu sijui dollar mimi huwa huwa sina ishu hizo kabisa mambo ya shilingi imeyumba, sijui dollar imeshukaa thamani nani anayataka
Hahahahaha!Embu kwanza niambie bei ya madafu ikoje leo. . .
 
hahahaaaa akikwambia sport 5.0 mzee utaumwa kichwa..! hivi wanao honga hua wanaulizaa..? au hua wanatoa tu kwa kutaka kuvuta ndege aje kwenye tundu bovu..?
Driller nikibeba kigunia cha mchele na maharage, mtetea wawili, kigunia cha nyanya na vitunguu....hapo nimehonga vya kutosha halafu ukizingatia niko maeneo ya Sudan na Somalia huku kwenye njaa kwisha kazi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom