kuhonga ni.....

we mhongaji wa vitumbua vya ccbrt upo?

QUOTE=The Finest;2937507]Akija hapa awe anajua kuhonga sio anaishia kuhonga chips mayai na mountain dew
Najua kuhonga fanta na chips ngumu yaani mihogo
Halafu nikihonga sana ni nauli ya daladala na asubuhi yake nampa chai ya rangi na mkate
n[/QUOTE]
 
Nipo aise namtafuta wa kumhonga chips ngumu hapa na fanta
na nimpe nauli ya daladala kesho asubuhi ya kurudi kwake
 
He he he, njoo Manzese uhonge karolait moja kwa miezi sita, huduma kila unapohitaji

Nipo aise namtafuta wa kumhonga chips ngumu hapa na fanta
na nimpe nauli ya daladala kesho asubuhi ya kurudi kwake
 
He he he, njoo Manzese uhonge karolait moja kwa miezi sita, huduma kila unapohitaji

Aise nakuja
Hawa wa huku bana kila ukikutana nae lazima fanta au coke ikutoke
Ahhh bora nipate huyo wa kumhonga carolait napata huduma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom