Kuhonga na kuhongwa dhana potofu mapenzini

Sasa atakua anatofauti gani na kahaba wa kona?
Ukahaba ni jina tu.
Lkn mke anapewa pesa ya kula, kuvaa na mambo mengine kwasababu tu anatoa utelezi.
Kaolewa ili atoe utelezi na jukumu la mume ni kumhudumia.
Nature ipo hivyo.
 
Jesus.. ok ahsante kwa elimu ya wazi bila kificho..Ndo maana yule mwanamke anasemaga ration ni yake
 
Sasa mkisema mwanamke asipewe pesa kwenye mahusiano sijui mnataka iweje, yaani akitoa utelezi bure ndo anaonekana wa maana sanašŸ˜…šŸ˜….

Hujaolewa unatoa utelezi bure, leo kwa huyu kesho kwa huyu sijui ndo uonekane wife material? šŸ˜…šŸ˜….

Kuna ile kuzidisha mizinga kweli ni kero. Lakini mahusiano ya kimapenzi bila kuhusisha pesa yanaboa.
Utamtoa out ni pesa...
Utamnunulia zawadi ni pesa...
Utamsapoti vocha ni pesa...

Sasa usipofanya yote hayo ufaidi utelezi tu hell no..
 
Sasa mkisema mwanamke asipewe pesa kwenye mahusiano sijui mnataka iweje, yaani akitoa utelezi bure ndo anaonekana wa maana sana[emoji28][emoji28].

Hujaolewa unatoa utelezi bure, leo kwa huyu kesho kwa huyu sijui ndo uonekane wife material? [emoji28][emoji28].

Kuna ile kuzidisha mizinga kweli ni kero. Lakini mahusiano ya kimapenzi bila kuhusisha pesa yanaboa.
Utamtoa out ni pesa...
Utamnunulia zawadi ni pesa...
Utamsapoti vocha ni pesa...

Sasa usipofanya yote hayo ufaidi utelezi tu hell no..
Lakini hizi ni zama za 50/50 kutoa pesa inabidi iwe mutual responsibility au kila mtu abaki na pesa zake. Au nasema uongo dada angu.
 
50/50 kuna wanaume hawezi kukubali.
Imagine nakuwa mke wako narudi muda ninaotaka kwasababu tu na mimi nina maamuzi utakubali?

Kama ni kutafuta pesa wanawake wengi wanaweza haiwasumbui wameshajiandaa kisaikolojia.
50/50 ni disadvantage kwa mwanaume wa kiafrika.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom