KISS 100
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 528
- 1,128
Kama nakupenda, nakupenda tu. Kunihonga fedha ni mazoea mabovu ya Watanzania baadhi.
Ukiona unampenda mtu na ushawishi wako zaidi umeegemea kutoa fedha huo ni uhusiano dhaifu.
Mapenzi ya dhati mwanamke sio lazima money reinforcement kama tai ya msabato. Pesa imeharibu sana mahaba, yamekuwa ya mkataba.