kuhonga mwaka 2012 (true market value ya mwanamke)

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
34,056
61,415
jamani nimeona kuwa kwa sasa ili mwanaume apate utamu basi inabidi tuu mshiko umtoke kwa namna moja au nyingine...kiufupi kuhonga is a must ndio unapata demu

sasa kwa mwaka ujao naona tufuate angalizo hili
tukubali kuhonga ni sehemu ya mapenzi ila uhongaji shuld represent a true and fair market value ya huyo mwanamke.

nimekaa kufikiri hii market value tutaipataje?? ni vigezo gani vitatumika ili tupate market value ya mwanamke?
elimu? uzuri? ubunifu kitandani?? naomba tuongezee vingine
 
kwani unafikiri miaka yote hawaongi? Wanaonga na mtaendelea kuonga hata 2020 nini 2012!!!!!

Haina maket valuewala value for money. Chezea utamu eeeeeeh
 
sasa jamani tuna honga basi lazima tupate value for money paid.
 
Mtoa mada congrats kwa kweli wewe unaona mbali sana, unajua utashambuliwa na wanawake kwa sababu umewapa ukweli hapo.

Ukweli siku hizi hakuna mwanamke asiye ijua pesa, yani hata ma 1st lady wa dunia nzima ukiwapa pesa hawakatai.

Yani cjui niseme nini pesa na wanawake utadhani Paratuate walio kuja nayo hapa duniani.
 
jamani nimeona kuwa kwa sasa ili mwanaume apate utamu basi inabidi tuu mshiko umtoke kwa namna moja au nyingine...kiufupi kuhonga is a must ndio unapata demu

sasa kwa mwaka ujao naona tufuate angalizo hili
tukubali kuhonga ni sehemu ya mapenzi ila uhongaji shuld represent a true and fair market value ya huyo mwanamke.

nimekaa kufikiri hii market value tutaipataje?? ni vigezo gani vitatumika ili tupate market value ya mwanamke?
elimu? uzuri? ubunifu kitandani?? naomba tuongezee vingine

Mh mzabzab wee kaz kwel kwel. usiniambie hakuna aliyekupa bure kwa mapenz tu jaman. mh bs type zako nouma. enh we honga tu ss vigezo vyote ulivyovitaja vikizingatiwa lol.
 
value ya mwanaume inakuwa determined by his disposable income. a valuable man is onw who makes more than wat a sensible woman cn spend

Na Value ya mtoto wa kike inatokana na uwezo wake wa ile michezo ya kitandani, vingeni ka uzuri, umbo etc ni nyongeza tu ya value lakini hai affect price yao!
 
Mh mzabzab wee kaz kwel kwel. usiniambie hakuna aliyekupa bure kwa mapenz tu jaman. mh bs type zako nouma. enh we honga tu ss vigezo vyo
te ulivyovitaja vikizingatiwa lol.

loh k upewe bure mbona ingekuwa raha duniani....sasa naona nitahonga tuu ila first on the list awe mkali ..mkali kiasi cha kwamba siamini akinivulia
 
Na Value ya mtoto wa kike inatokana na uwezo wake wa ile michezo ya kitandani, vingeni ka uzuri, umbo etc ni nyongeza tu ya value lakini hai affect price yao!

loh mie uzuri ni must maana raha ya sita kwa sita sio kumwagaa tuu bali uzuri wa sura na pia mvuhto wa umbo tena sie wengine tulio wapenzi wa both front and rear plate numbers ndio usiseme
 
jamani nimeona kuwa kwa sasa ili mwanaume apate utamu basi inabidi tuu mshiko umtoke kwa namna moja au nyingine...kiufupi kuhonga is a must ndio unapata demu

sasa kwa mwaka ujao naona tufuate angalizo hili
tukubali kuhonga ni sehemu ya mapenzi ila uhongaji shuld represent a true and fair market value ya huyo mwanamke.

nimekaa kufikiri hii market value tutaipataje?? ni vigezo gani vitatumika ili tupate market value ya mwanamke?
elimu? uzuri? ubunifu kitandani?? naomba tuongezee vingine

Ebo! Kumbe we huwa unahonga honga tu bila kuangalia value?! We wa wapi wewe?! Hapa hakuna cha market value, but all about product value! Kuna ngoma zingine unavuka nazo bara bara tu; hadi kibanda cha chips chafu na kukipiga na kiepe yai kwisha kazi! Zingine, lazima kwanza ukwepeshe zile tarehe mfu za kati kati ya mwezi na kusubiria zile za majivuno ili ujifanye kidume! Na ngoma zingine, ni suala tu la kujikumbushia enzi za college na kufanya calculation kwamba boom huwa linakataga wakati gani....sema hizi nazo, kama standard ipo juu, basi mwagizie tu Blackberry ya $ 250 umemaliza kila ki2! Wanapenda BB hawa, utafikiri wamelogezewa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom