aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,490 Reaction score 21,048 Jul 21, 2024 #41 Half american said: Itakuwa alimsikiliza zuchu vizuri Click to expand... Uzuri wake huwa anakuja hata bila mimi kumpa nauli. Kwahiyo ni kuku wangu mwenyewe hanipi shida. Maana huwa haji kwangu kwa ajili ya pesa.
Half american said: Itakuwa alimsikiliza zuchu vizuri Click to expand... Uzuri wake huwa anakuja hata bila mimi kumpa nauli. Kwahiyo ni kuku wangu mwenyewe hanipi shida. Maana huwa haji kwangu kwa ajili ya pesa.
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,586 Reaction score 11,365 Jul 21, 2024 #42 mg646 said: Mume wa mtu upendwe bure Click to expand... hakuna mapenzi ya kweli kwa mume au mke wa mtu
mg646 said: Mume wa mtu upendwe bure Click to expand... hakuna mapenzi ya kweli kwa mume au mke wa mtu
Subira the princess JF-Expert Member Joined Mar 3, 2018 Posts 4,465 Reaction score 4,613 Jul 21, 2024 #43 Michewen said: Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'. Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe. #selfie_Idumu# Click to expand... Mmmmmmh
Michewen said: Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'. Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe. #selfie_Idumu# Click to expand... Mmmmmmh
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Jul 22, 2024 Thread starter #44 UTT AMIS