Kuheshimiwa Kwa Serikali ya Tanzania Wakati wa Kikwete, Je heshima hii Itasalia?

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,807
Rais Kikwete aliiletea Tanzania heshima Kubwa ajabu Kimataifa. Na kunawakati nilidhani Labda ni kwa Vile alikuwa Muungwana na Akicheka Muda Wote. Lakini Kikwete alikuwa Tough na mwenye kujiamini.


Utekelezaji wa Miradi yote Mikubwa Mnayoiona sasa Kuanzia Fyover za Dar es salaam Ujenzi wa Reli ya Kisasa, Ukiondoa Ununuzi wa Bombardier, vyote viliwezeshwa na Kikwete na wakati anaondoka mipango ilikuwa Tayari kwa asilimka zaidi ya 90%

Viongozi Wote wa Dunia Wote walikuwa Wanapanga msururu Kuitembelea Tanzania, Hata Marais wote wa Marekani wakiwepo Wastaafu Wote walikuwa Wakija Tanzania Kama wanamtembelea Mjomba. Na sio hao tu Nakumbuka Bush aliongozana na Wafanyabiashara zaidi ya 400! Akina Bill Gates and what have you! Naamini Kikwete hakufanya haya kwa ajili yake Binafsi, Alifanya kwa Faida ya Tanzania, Je anajisikiaje haya yote yalipotupwa chooni ndani ya Mwaka mmoja!

MCC-Bush-Kikwete_320x250.jpg


p070113ck-0153.jpg


1364178606765_1364178606765_r.jpg


getdoc.php



Athari za Kiuchumi, Kisiasa na Kijamii, Kwa Viongozi wakubwa Duniani Kuona aibu kuonekana Tanzania. Nini athari za Kiuchumi kwa Wawekezaji wa Kimataifa Kuona Mgeni anaambiwa Mbele ya Makamera "Submit your Passport now I will deal with you"


 
Back
Top Bottom