Calvin John
Member
- Feb 15, 2014
- 12
- 2
Napishana na dada mmoja hapa Ubungo..Aiseeeeh!!!kavaa kigauni ambacho urefu kwenda chini kinaishia juu ya mapaja akiwa amesimama..Akiwa amekaa ndo malighafi zote zinakuwa exposed nje!!!..Sasa ni kwamba anajielewa mpaka akaamua kuvaa hako kagauni tena mchana sasa au hajui alitendalo au ndo kapigwa picha na maisha????