Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

sindano gani sasa, hivi unafikiri wanatusumbua hawa? mbona tunawajua, yaani pepo anisumbue? wafuasi wake ninyhi ndio misukule mtakuja kufa kama alivyoua watu wake Mackenzie kule kenya. huyo jamaa ni nabii wa uongo, plus mwamposa, plus elisha mumewe chibalonza, plus peter nyaga. nyoote mnasubiri moto wa milele pamoja na shetani, ama la muokoke na muache utapeli.

Sindano imepenyaaa💊💉💉💊💊💊💉💉

Imani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu.

Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka michache sasa.

GREAT THINKERS wa Jamiiforums hivi huyu KUHANI MUSA RICHARD MWACHA ni nani haswa?
Asante sana mama D kwa uzi huu, wewe ni baraka, Kuhani Musa ni mtumishi wa Mungu wa kweli!. Mimii pia ni mwana Ngomeni!, bila kuhama kwenye dhehebu langu la asili, from time to time huwa najumuika pale Ngome ya Yesu, Kimara Temboni.
P
 
Nina hakika kuna certain changes lazima imekutokea,katika unalopigania, simaanishi uiweke hapa hapana, (tuweke imani kwa kiasi) bila kuharibu mambo mengine, intelegency matter!
 
Asante sana mama D kwa uzi huu, wewe ni baraka, Kuhani Musa ni mtumishi wa Mungu wa kweli!. Mimii pia ni mwana Ngomeni!, bila kuhama kwenye dhehebu langu la asili, from time to time huwa najumuika pale Ngome ya Yesu, Kimara Temboni.
P
Asante Sana kaka Paschal Mimi pia huwa na tune radio na television every night...

Vp Leo utaenda kukanyaga ointment red carpet with ointment oil

🙏🙏🙏
 
Efeso 3:20-21​

"Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; naam, atukuzwe katika Kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina."
 
Mtu anayeshindwa kulea watoto wake wa kuzaa mpaka kwa amri ya mahakama anakutunzaje wewe kiroho kama si tapeli?...
Eti kuna watu walimpigia simu wamepewa Mil. 30 wamchafue kwahiyo wakamtaka awape Mil 50.. 😀😀 Hadithi za kitoto kabisa,, zile hadithi za kufukua Kibox Mbagala na yule Mbuzi mwenye maandishi mara kochi linaletwa kanisani ...😀😀
Kama baba yake wa kiroho aliyemfundisha hii micherzo naye ni tapeli mzuri tu...
 
Hiyo aya ya kwanza iweke vizuri, nani hataki kutunza watoto wake?
 
Back
Top Bottom