Mumlii
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 266
- 362
Habari naomba, kuuliza wana JF kuhamishwa kwa wafanyabiashara sokoni ili ujenzi wa soko la kisasa. Lile eneo watakaoenda kugawiwa hao wanaohamishwa mtu anayetakiwa asimamie kugawiwa maeneo hayo ni mwenyekiti wa soko tu na mwenyekiti wa mtaa husika wa eneo jipya, halmashauru haihusiki kabisa,?
Maana Ushirombe wafanya biashara wamehamoshwa kwenda eneo jipya anayegawa maeneo ni mwenyekiti wa soko, tu. Halmashauri ya wilaya ya husika hamna hata mtu mmoja?
Maana Ushirombe wafanya biashara wamehamoshwa kwenda eneo jipya anayegawa maeneo ni mwenyekiti wa soko, tu. Halmashauri ya wilaya ya husika hamna hata mtu mmoja?