Kuhama nyumbani

Kuhama nyumbani

miaka 28 ni mingi ujue ooooh hapo ungekuwa umeshanunua visufuria vya kupikia kwako na kujijenga kimaisha aiseh pole sana ila bado hujachelewa.
 
ha haaa, bora u-imagine tu..... ungenionea huruma....
namshukuru sana bibi yangu (mama mkwe wake) ndo aliingilia kati.....
visingizio kibao, hawana lolote

hahahaha walitaka kumkosesha kijana wa watu papuchi kisa visingizio.......loh afadhali bibi alikuwepo.Nahisi mumeo ukimkumbushia mbavu hana
 
Binti hauna sababu ya kukurupuka kuondoka nyumbani kuanza maisha ya kujitegemea kuwaridhisha watu au hata hawa wanaokushauri hapa.
Hakuna sababu yoyote ya kufanya hivyo. Wazazi wako wanakupenda ila zaidi ya yote kumbuka kuna baraka nyingi unazipata ukiwa hapo nyumbani. Fikiria jinsi ulivyowabariki hapo nyumbani kwa kipindi ambacho umepata kazi.
Isitoshe hakuna kinachokukimbiza kwenda kuishi maisha ya kujitegemea. Wanaweza kukushauri kuwa una miss mambo mengi kuishi na wazazi kuliko ambavyo ungeishi mwenyewe lakini ulishawahi kujiuliza hao wanaoishi wenyewe wamefaidika na nini mpaka sasa ambacho we haujafaidika nacho?
Heshima ambayo umejijengea wewe ni zaidi ya hao wanaoishi peke yao. Infact uko katika chance kubwa ya kupata mume ukiwa nyumbani kuliko utakavyokwenda kujitegemea (hata kama hiyo inaweza isiwe shabaha yako kwa sasa)
Kuna mabinti wengi wangependa kuishi na wazazi wao katika umri ulio nao ila hawana bahati hiyo. We umepata hiyo bahati unaona kama unapitwa na maisha. Kumbuka wazazi wako ndio msingi wa kwanza wa Mungu hapa duniani. Wasikilize cause wanajua kuliko wewe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahaha walitaka kumkosesha kijana wa watu papuchi kisa visingizio.......loh afadhali bibi alikuwepo.Nahisi mumeo ukimkumbushia mbavu hana
ha haaaa, shem huo utani hautaki kabisaaaaaa, maana alilia, lol!
 
ha haaaa, shem huo utani hautaki kabisaaaaaa, maana alilia, lol!

teh teh teh huyo ndo alipenda kiukweli hadi akaanza kuhisi ndege wake anaapeperushwa hivi hivi mchana kweupe...wasalimie wanao na baba yao kipenzi.
 
Hayo aliyobakiza kujifunza baada ya miaka 28 ya kuishi na hao wazazi, acha akajifunzw jinsi ya kuishi na majirani nao bwana. Kha!

Shosti kwani umegundishwa moshi? Kwanza tafuta kazi mtwara huko kwenye gesi. Ukamate $$ na utakutana na mchuchu huko huko. Achana na mambo ya kuatamiwa kama yai bwana. Jiongeze. Kuhama mkoa ndo kuhama home peacefully. I did the same.
Sipati picha akiwa mtwara, itabidi ajifunze mbinu za kuwakimbia polithi.
 
teh teh teh huyo ndo alipenda kiukweli hadi akaanza kuhisi ndege wake anaapeperushwa hivi hivi mchana kweupe...wasalimie wanao na baba yao kipenzi.
ha haaaaa, lol!
Asante my dear, salamu zimefika.....
 
usihame dadangu n wait mpaka kuolewa mana stayin na wazazi unajifunza meng abt marriage lyf na pia unakua kama furaha yao mana wazaz wakiona watoto wao wanakua na furaha zaid,trst me kwa hlo mana m xperienc da sem lyf

Asipoolewa??????
 
Ungekuwa mtoto wa kiume ningekushauri uhame.
Ila wewe dada subiri uolewe! Ila kama plans zako sio kuolewa hakikisha unajipanga then ndio uhame

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Asipoolewa je????????
 
Hamaaaaaaa ufaidi maisha! Ukiolewa hapo hapo utazeekaje sasa? Utatoka jela 1 kwenda ingine! Akuuuuuuuuu! Kuwa na kwako kuna rahaa!

Tena anaesusa ni bi mkubwa wako uongo? Mwenyewe bi mkubwa wangu aligoma kabisaaa mimi kuhama mpaka tulipokubaliana mshahara wangu awe anauchukua yeye! Hapo swadaktaaaaaaa! Alikuwa anahisi nikiishi mwenyewe nitafujafuja mapesa na kumuongezea gharamaaa. Kumbe walaaaaa!

Ndo mana hakuna wa kukuoa zaidi ya kukuvua chp tu.
Mtoto wa kike kama anafanya kazi mji ambao wazazi wake wapo, anapaswa kuishi kwa wazazi wake hata akifikisha miaka 90.We unafikiri send off ni kwa ajili ya kupewa vyombo?!
Kama anapenda aishi mwenyewe, basi atafute kazi sehemu nyingine, vinginevyo unataka awe nunga embe.
 
miaka 28 ni mingi ujue ooooh hapo ungekuwa umeshanunua visufuria vya kupikia kwako na kujijenga kimaisha aiseh pole sana ila bado hujachelewa.

Atavipata wakati wa kitchen part, acheni kumpotosha.
 
Atavipata wakati wa kitchen part, acheni kumpotosha.

hakuna anayempotosha ila a reasonable man lazima ajijenge atasubiria vya kitchen party hadi lini na je hiyo kitchen party isipotokea atavipata hivyo vyombo mbinguni..........umri wake ulishasogea sio 24 huyu
 
Each moment of your life is a picture
which u had never seen before.
And which ull never see again so enjoy
&
live life & make each moment beautiful...follow your heart.
 
hakuna anayempotosha ila a reasonable man lazima ajijenge atasubiria vya kitchen party hadi lini na je hiyo kitchen party isipotokea atavipata hivyo vyombo mbinguni..........umri wake ulishasogea sio 24 huyu

Hivyo vyombo anaweza akavinunua na akavitunza kwa wazazi wake hapohapo. We unafikiri analala na wadogo zke?
 
Hivi kuna haja gani ya kuendelea kukaa kwa wazazi wakati umri unaruhusu hali ya maisha inaruhusu? Thank God kuzaliwa mwanaume maana wakati mwingine mabinti mnanyanyaswa kwa kweli. Tumia akili yako vizuri bana utaishi kama mtumwa mpaka lini yaani hata kuanika chupi bafuni unashindwa, kutoka nje na kanga huwezi na kupika lazima tena kila siku but ukiwa peke yako wakati mwingine unapotezea tu halafu unafanya mambo yako kwa hiari na unafanya unachopenda na pia ni njia mokawapo ya kujifunza kuishi na majirani kitu kitakachokusaidia hata pindi utakapo amua kuolewa. Maneno yangu siyo sheria wasikilize wadau!
 
Ndo mana hakuna wa kukuoa zaidi ya kukuvua chp tu.
Mtoto wa kike kama anafanya kazi mji ambao wazazi wake wapo, anapaswa kuishi kwa wazazi wake hata akifikisha miaka 90.We unafikiri send off ni kwa ajili ya kupewa vyombo?!
Kama anapenda aishi mwenyewe, basi atafute kazi sehemu nyingine, vinginevyo unataka awe nunga embe.

HAHAAAAAAAAAAAA! You wish asingekuwepo? FYI For all my life i thank God kwa kunipendelea vingi kuanzia Sura mpaka Brain (Ni kweli wanawake wengi wazuri hawanaga akili kutokana na theory ya XXX, XX, XXY chromosomes kwa madoctor wanannisoma! Bt im unique) SO ALL MY LIFE I HABE BEEN AND STILL AM ABLE TO GET ANY MAN OF MY WISHES DESPITE ANYTHING!!!!!!!!!!! NO MAN CAN SAY NO TO ME!!!!!!!!!!! ROGER THAT!!!!!!!!!!!!!!

Nikisema hata kesho niolewe nina watu zaidi 10 wako standby wananilamba miguu wanioe! Bt i wont waste my precious age, youth and moments for any Man!!!!!!!!!!! Sinki na jiko were not cut out for me! I was born to conquer and lavish myself and I WONT AND WILL NEVER ACCEPT ANY OTHER FATE FOR ME!!!!!!!!!!!! NEVER! Maybe untill im 30

The Million Dollar question is AFTER MARRIAGE THEN WHAT?????????? (OBVIOUSLY ITS JUST LIFE!!!!!! Too boring for my liking)
IM LIVING TO THE FULLEST!!!!!!!!!!! Sitaki kuzeeka nimelala na wanaume 2 au 3 wasio na vigezo!!!!!!!!!! Jst out of courtesy cause they asked me!!!!!!!! PALEASEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!! Im doing my own hunting!
 
Ndo mana hakuna wa kukuoa zaidi ya kukuvua chp tu.
Mtoto wa kike kama anafanya kazi mji ambao wazazi wake wapo, anapaswa kuishi kwa wazazi wake hata akifikisha miaka 90.We unafikiri send off ni kwa ajili ya kupewa vyombo?!
Kama anapenda aishi mwenyewe, basi atafute kazi sehemu nyingine, vinginevyo unataka awe nunga embe.

Wanaokaa nyumbani kyupi hawavuliwi?????

THATS POINTLESS!!!GET LOST
 
umenikumbusha wakati sista alikua akitaka kuhama homu akapange alijarb kuomba msaada kwangu nimsaidie niwashawaishi wazee,but i said no anawahi nini huko?na wewe nakuambia unakimbilia nini huko ?
waache wazee wafaid kamshahra kako kidogo kabla hawajakuruhus, kwan nao wana haki ya kuenjoy baada ya kukusomesha kwa mda wote huo na sio ujifaidie mwenyewe tu halaf badae ufaid na mme wako,
give them chance.its their time
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom