Kuhama nyumbani

Kuhama nyumbani

HAHAAAAAAAAAAAA! You wish asingekuwepo? FYI For all my life i thank God kwa kunipendelea vingi kuanzia Sura mpaka Brain (Ni kweli wanawake wengi wazuri hawanaga akili kutokana na theory ya XXX, XX, XXY chromosomes kwa madoctor wanannisoma! Bt im unique) SO ALL MY LIFE I HABE BEEN AND STILL AM ABLE TO GET ANY MAN OF MY WISHES DESPITE ANYTHING!!!!!!!!!!! NO MAN CAN SAY NO TO ME!!!!!!!!!!! ROGER THAT!!!!!!!!!!!!!!

Nikisema hata kesho niolewe nina watu zaidi 10 wako standby wananilamba miguu wanioe! Bt i wont waste my precious age, youth and moments for any Man!!!!!!!!!!! Sinki na jiko were not cut out for me! I was born to conquer and lavish myself and I WONT AND WILL NEVER ACCEPT ANY OTHER FATE FOR ME!!!!!!!!!!!! NEVER! Maybe untill im 30

The Million Dollar question is AFTER MARRIAGE THEN WHAT?????????? (OBVIOUSLY ITS JUST LIFE!!!!!! Too boring for my liking)
IM LIVING TO THE FULLEST!!!!!!!!!!! Sitaki kuzeeka nimelala na wanaume 2 au 3 wasio na vigezo!!!!!!!!!! Jst out of courtesy cause they asked me!!!!!!!! PALEASEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!! Im doing my own hunting!

Haaahaaa yaani we mwanadada kweli mtata!
 
Hamaaaaaaa ufaidi maisha! Ukiolewa hapo hapo utazeekaje sasa? Utatoka jela 1 kwenda ingine! Akuuuuuuuuu! Kuwa na kwako kuna rahaa!

Tena anaesusa ni bi mkubwa wako uongo? Mwenyewe bi mkubwa wangu aligoma kabisaaa mimi kuhama mpaka tulipokubaliana mshahara wangu awe anauchukua yeye! Hapo swadaktaaaaaaa! Alikuwa anahisi nikiishi mwenyewe nitafujafuja mapesa na kumuongezea gharamaaa. Kumbe walaaaaa!

Nakubaliana na Lara1 kwa asilimia mia, hama dada nenda kajitegemee kabla hujaolewa, uzoefu unaonyesha wazi kabisa usipopitia hatua ya kuwa peke yako kwako (si kwa wazazi, wala si kwa mume) utakuwa umemis kitu fulani na mbeleni lazima utarudi kukifanya. Ongea na wazazi/mzazi akuelewe uende ukajitegemee kabla hujaolewa. Na isitoshe huenda usiolewe kabisa sasa utataka kuzeekea home.....
 
ki maadili ni vizuri ukabaki nyumbani kama hakuna matatizo yoyote ya kifamilia coz ni mtoto wa kike, angekuwa mwanaume ningemshauri ahame hata kilazima, bila shaka anayekataa wewe kuhama nyumbani ni mama coz anahisi utaingia katka makundi ambayo yapo nje ya maadili, kama unafikiria kuingia katka ndoa nmiaka 2 au 3 ijayo nakushauri usihame kwa sasa but kama huna plan ya ndoa na unauhakika unajiweza hama upate challenge za maisha mdada!!
 
Asipopatikana wa kumuoa itakuwaje

Ungekuwa mtoto wa kiume ningekushauri uhame.
Ila wewe dada subiri uolewe! Ila kama plans zako sio kuolewa hakikisha unajipanga then ndio uhame

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ooh! masikini pole kwa challenge unayokutana nayo, miaka 28 bado anakugombeza?
Ni vizuri ukhama ili kujua na kupata challenge za maisha ukiwa umesimama mwenyewe lakini pia usindoke kwa kulazimisha, cha msingi kaa chini uongee na mzazi anaekubali uondoke msomeshe vizuri kabisa ili yeye ndo awe support yawewe kuondoka hapo nyumbani, otherwise mtafute hata rafiki au ndugu unaejua wako karibu sana na baba/mama umweleze tatizo lako nadhani kwa namna moja au nyingine watasaidia


For sure siko peace kuendelea kubaki. Ukirudi saa moja unamkuta amenuna then anakugombeza. Ananiambia kama kazi ni kuchelewa hatanielewa.... for me napata wakati mgumu kwa kweli
 
mie nilihama weeeee tangu boding fomu wani, a level, chuo , kazi...safari za kikazi.........ndoa - ndoano!!!
now i wish to go back home!!!
 
Usihame. Na wala usibadili tabia yako ukaanza kuchelewa kurudi home. Utaharibu maisha yako mwenyewe. Kama ni maisha yapo kibao huko mbele.
Kama ni mume utaolea na utainjoi naniliu mpaka basi. Stay home
And stay home
 
Me nakushauri usihame kama mzazi hajaridhia,jitahidi umshawishi akubali ndio uhame
Au tafuta kazi mkoa mwingine ili iwe kigezo cha kuhama.Lakini kuhama bila baraka sikushawishi maana yalishamkumba sis wangu alihama kwa zogo za mshua matokeo yake alienda kuishia pabaya na sasa amerudi home karibu miaka 10 sasa maana alirudi kuuguzwa
Kama vipi wewe kaa tu save pesa nunu plot anza kujenga taratibu
 
Me nakushauri usihame kama mzazi hajaridhia,jitahidi umshawishi akubali ndio uhame
Au tafuta kazi mkoa mwingine ili iwe kigezo cha kuhama.Lakini kuhama bila baraka sikushawishi maana yalishamkumba sis wangu alihama kwa zogo za mshua matokeo yake alienda kuishia pabaya na sasa amerudi home karibu miaka 10 sasa maana alirudi kuuguzwa
Kama vipi wewe kaa tu save pesa nunu plot anza kujenga taratibu

Ushauri mzuri sana umempa!

Nadhani atakua kapata boyfriend, sasa anahitaji uhuru, si unajua tena, kile cha asubuhi mkuu! Juzi tumewekewa uzi humu unaoonesha kuwa kinaongeza furaha na ufanisi katika siku!!

Wengi huondoka nyumbani sio kwa kuwa wamewaza maendeleo zaidi bali kwa kuhitaji uhuru zaidi na wenzi wao! Sikatai kuwa ni muhim ila haipaswi kuwa kipaumbele!

Anunue kiwanja, aanze kuweka mawe taratibu kwa hiyo hela ya kodi ambayo vinginevyo angeilipa anakotaka kuhamia!
Kazi ya kujenga sio ya mume! Familia ni zetu sote!
 
hata mi mwenyewe sijui km babangu angekubali nihame nyumbani kama sijaolewa, nami pi nisingependa binti yg ahame nyumbani kabla hajaolewa.!!!!!
kwa msichana ni heshima kubwa kukaa nyumbani kuliko kuishi mwenyewe..na pia nafikiri unatamani kuolewa basi endelea kukaa nyumbani, na hapo utaolewa ukiwa hm, ila ukihama ukajitegemea posibility ya kuolewa inaweza kupungua na kujikuta ww ni single parent baadae....labda km utahama mkoa km wadau wengine wanavyokushauri hapo itakulazimu hakuna jinsi lkn km upo mkoa mmoja we baki nyumbani.....
 
Hamaaaaaaa ufaidi maisha! Ukiolewa hapo hapo utazeekaje sasa? Utatoka jela 1 kwenda ingine! Akuuuuuuuuu! Kuwa na kwako kuna rahaa!

Tena anaesusa ni bi mkubwa wako uongo? Mwenyewe bi mkubwa wangu aligoma kabisaaa mimi kuhama mpaka tulipokubaliana mshahara wangu awe anauchukua yeye! Hapo swadaktaaaaaaa! Alikuwa anahisi nikiishi mwenyewe nitafujafuja mapesa na kumuongezea gharamaaa. Kumbe walaaaaa!

Hahahaahhaha!!! Hizo terms za ruksa nimezipenda loohh!! Lara1 comments zako zinanifurahishaga sana!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom