Kuhama kozi, UDSM

Kivule

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
639
662
Habari, jamani m nimechaguliwa apo udsm nataka kuhama kozi ila ndani ya college iyo iyo, naombeni maujanja jinsi ya kuhama kirahisi na kwa mda mfupi ata ndani ya wiki hii, kozi nayotaka kuhamia ninafaa kabisa mana wamechukua wanafunzi wenye cut off point ndogo kuliko yangu.

Kwa atakayenisaidia nikifanikiwa nipo tayari kumbeba mana sijapata mtu wa kumbeba na nimepata room main campus hall 2, ahsanteni.
 
Habari, jamani m nimechaguliwa apo udsm nataka kuhama kozi ila ndani ya college iyo iyo, naombeni maujanja jinsi ya kuhama kirahisi na kwa mda mfupi ata ndani ya wiki hii, kozi nayotaka kuhamia ninafaa kabisa mana wamechukua wanafunzi wenye cut off point ndogo kuliko yangu. Kwa atakayenisaidia nikifanikiwa nipo tayari kumbeba mana sijapata mtu wa kumbeba na nimepata room main campus hall 2, ahsanteni.
...........
0757593670....nicheki kwa phone...me pia nlibadili course mwaka jana within a college....
 
Me nataka umbebe my boyfriend,nicheck pm nikupe maujanja!
 
kama course unayohamia ina nafasi ni kazi rahisi sana, cha msingi wahi chuo mtapewa utaratibu wote wa kuanzia hizo hatua za kuandika barua za kuhama.
 
unanichekesha m nimesoma PCM advanced level, so usidhani kila mtu kama wewe aliyesoma HKL. Kama ulikosa nafasi ya kujiunga UDSM ni wewe na ukilaza wako.
 
Back
Top Bottom