Kugongewa mke inauma sana

Mi nakupa na spy app kabisa ili uone kila hatua mpaka jinsi atavyotafunwa ili mambo yasiwe mengi. Vijana wangu watakuwa around kuhakikisha usalama wa shughuli nzima.
Mahakamani hawatakubali mkuu. Usijali utakuwa salama, au unaonaje nikulipe baada ya kukukamata ugoni?
 
Aisee kupitia haya maelezo yako, kwa kweli wanawake wanatakiwa kuwa na huruma.
 
Kapitie ule Uzi unaotaka wahudumu wa guest wapewe tuzo😂😂
 
Kuna jamaa aliwahi kwenda kupiga chabo demi wake akiliwa alivyoona demi alivyokunjwa jamaa akaangua kilio eti mbona Mimi simkunji hivyo😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…