Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Wee mie naumiza vidole kuchapa marimba ya mzungu kukutongoza kumbe tayari mnazangamuana na jamaaHahahhahaha yaan wewe
Lakini si hainaga makombo?Wee mie naumiza vidole kuchapa marimba ya mzungu kukutongoza kumbe tayari mnazangamuana na jamaa
Kabisaa cha msingi uwe top four unapewa sasa mie ata top four sijafika ndio shida ipo hapoLakini si hainaga makombo?
Mme wng alikuwa anatembea na mke wa mtu cku hajaniona anaongea kwenye cm na huo michepuko wanamkandia jamaa kuwa Hana nguvu Wala hajui kutombeeeeer na mme wng akawa anaamin anajiona ye ndo mtombaji Bora.......niliwadharau Sana aiseeeee!!!!Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.
Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.
Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Hii top four ndio ipoje naomba udadafuziKabisaa cha msingi uwe top four unapewa sasa mie ata top four sijafika ndio shida ipo hapo
Top four sii ndio wala wanaume ambao mwnamke yupo tayari kuwapa mbususu waileHii top four ndio ipoje naomba udadafuzi
Ooh hiyo imekuwa mpya kwangu. Wewe ndio haupo top 4 sio? Mbususu unazicheki kwenye picha tu?Top four sii ndio wala wanaume ambao mwnamke yupo tayari kuwapa mbususu waile
Ndiio nacheki kwa pichaOoh hiyo imekuwa mpya kwangu. Wewe ndio haupo top 4 sio? Mbususu unazicheki kwenye picha tu?
Ki ukwel maisha ya ndoa ni stressful mno...uaminifu hakuna hata kiduchu ni mwendo wa kunafikiana tu,mtu analiwa au kula halafu anafuta na mdomo kwa mbwa mwitu na kujikausha kau!
hata ka hofu kidogo basi...yan anacheat halafu anakuletea unafki wa baby,sweety,honey na upuuz mwingne kumbe katoka gwaride huko....bora alone ki ukwel japo ndo ivo tushajichanganya wengneHahah eti anajikausha kau,unataka akutangazie??
Mzee hii ndio haki na demokrasia ilivyo haitakagi makasiriko.hata ka hofu kidogo basi...yan anacheat halafu anakuletea unafki wa baby,sweety,honey na upuuz mwingne kumbe katoka gwaride huko....bora alone ki ukwel japo ndo ivo tushajichanganya wengne
hata sijaleta makasirko mkuu wangu,ni ndivyo ilivyo hivoMzee hii ndio haki na demokrasia ilivyo haitakagi makasiriko.
Anamnyima mumewe akijua anamuheshimu pia mahusia ya mashangaz mashost na ndg. Kwamba ukimpa huko itakuwa ndio tiket ya moja kwa moja.Acha kabisa yaan mkuu ukiweza wewe fanya uwezavyo Ila mwanamke akienda kugongwa nje anagawa kila kitu hata kile ambacho hua hakupi, ushahidi ninao
Siku 92 ataishi Kwa tabu Sana ,tegeni mitegoSio kweli. Mwanamke akiamua kutom..b nnje hazuiliki
Hii post yako NIMEIELEWA sanaaaaMme wng alikuwa anatembea na mke wa mtu cku hajaniona anaongea kwenye cm na huo michepuko wanamkandia jamaa kuwa Hana nguvu Wala hajui kutombeeeeer na mme wng akawa anaamin anajiona ye ndo mtombaji Bora.......niliwadharau Sana aiseeeee!!!!
Ndio, kugongewa mke kunauma, pole sana,lakini naomba nikuambie ukweli ambao naamini hutapenda kuusikia.Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.
Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu usigongewe mke sababu inauma sana na mke anauma sana aisee najua maumivu yake mimi eti.
Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
NB: Mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti nisamehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana