Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa

Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao njiani zilipita uhalisia wa safari za kuwahi kufika

=====

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw.Abubakar Kunenge, amezungumza na #ITVDigital ambapo amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya New Force, basi la Kampuni ya Sauli pamoja na Lori la mafuta, katika eneo la Ruvu, mkoani humo.

Kunenge amesema abiria walifanikiwa kutoka kwenye mabasi hayo isipokuwa abiria wawili ambao walikuwa wamebanwa kwenye moja ya mabasi hayo na wakati Jeshi la Zimamoto na Jeshi la Polisi wakiendelea na juhudi za kuwaokoa ndipo moto ukalipuka na kusababisha abiria hao kufariki dunia.

FB_IMG_1711613989123.jpg
FB_IMG_1711614001043.jpg

USSR

Pia soma Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu
 
Sauli New Force Kampuni za kipuuzi sana... unless otherwise wamiliki wana sacrifice
New force ni ya Wachina, nilipoonaga wafanyakazi wao wanaanza uswahili wa kupanga vindoo vya Lita 10 kwenye corridor ili kupakia abiria zaidi nilishaachana nao, halafu usb cable hazifanyikazi ndio sitaki hata kulisikia.

Wale Wachina wanaishia ofisini Ubungo, kinachoendelea kwenye mabasi yao huenda hawaelewi kitu.
 
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa

Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao njiani zilipita uhalisia wa safari za kuwahi kufika

USSRView attachment 2946656View attachment 2946657
Hii siyo kazi ya Mungu.

Mara mia niarishe safari ila sio kupanda hizo kampuni,kuna maeneo wakikutana wanakimbia vibaya mno yan mpaka abiria unashindwa kukohoa kwa kuhofia usije mtingisha dereva,hao majamaa wasikie tu ila sio salama kabisa.Ila sauli kama vipi aongeze nguvu machimboni maana barabarani hapamwendei vyema,japo kijana mwenzake Achimwene ameongeza bus za makongorosi dar juzi hapa.
IMG-20240327-WA0002.jpg
 
New force ni ya Wachina, nilipoonaga wafanyakazi wao wanaanza uswahili wa kupanga vindoo vya Lita 10 kwenye corridor ili kupakia abiria zaidi nilishaachana nao, halafu usb cable hazifanyikazi ndio sitaki hata kulisikia.

Wale Wachina wanaishia ofisini Ubungo, kinachoendelea kwenye mabasi yao huenda hawaelewi kitu.
ajali ndio zipo hatukatai na haya magari hayana guarantee ya uhai wetu ila Hizo Bus sijawahi kuzipata kabisa .... nakumbuka siku moja nlionekana na dharau ... Mimi ni bora ni postpone safari kuliko kupata hizo kampuni
 
Back
Top Bottom