USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,667
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa
Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao njiani zilipita uhalisia wa safari za kuwahi kufika
=====
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw.Abubakar Kunenge, amezungumza na #ITVDigital ambapo amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya New Force, basi la Kampuni ya Sauli pamoja na Lori la mafuta, katika eneo la Ruvu, mkoani humo.
Kunenge amesema abiria walifanikiwa kutoka kwenye mabasi hayo isipokuwa abiria wawili ambao walikuwa wamebanwa kwenye moja ya mabasi hayo na wakati Jeshi la Zimamoto na Jeshi la Polisi wakiendelea na juhudi za kuwaokoa ndipo moto ukalipuka na kusababisha abiria hao kufariki dunia.
USSR
Pia soma Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu