Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

Sema 80 % ya abiria wanaopanda hzo kampun tarifa zake wanazo ndio yan abiria wenyewe nao wanapenda mwendo wa ngiri mkia juu mana bus inachukua labda abiria 53 au 57 sasa kupata vichaa 50 wanopenda mambio mbona simpo.. ndio mana unaona ukingia humo husikii malalamiko abiria wao karibia wote wanazi....!
 
Wewe uwe hodari soma hii hapa juu, huyo ni mtu mwingine
 
Hayo yote ni mabasi ya ndagu yatakula watu sana kabla ya kuisha.
 
Nimekuuliza zaidi ya hiyo ajali sauli ilishwahi kupata ajali nyingine?

Mbona kichwa chako kigumu kuelewa
Soma na kuelewa siyo unasoma tu kama pimbi. Issue ni kukimbia sana kwa kutaka kuwahi kufika wanakokwenda. Unamtenga vipi Sauli kwa hili?

Na ajali ndiyo hiyo kapata leo Mlandizi/Ruvu
 
Kwa nini abiria huwa kimya badala ya kumwajibisha dreva na wakiulizwa na trafiki wanasema mambo shwari?
 
Na kuna wapuuzi walianzisha thread za ligi za mabasi humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…